Wakudadavuwa
JF-Expert Member
- Feb 17, 2016
- 17,505
- 16,006
Umeandika nini hapaUkiwa mwenye kumbukumbu utagundua mahaba ya makadanda kwa Manji yamechagizwa na njaa ya akili na tumboni. Kumbuka alivyofanyiwa Lowassa.
Vijana wengi wanajiita basichaa kwa sasa wamefungua vinywa wakijinadi kama "wasafishaji".
Waandishi nguli wa habari za uchunguzi sasa wapo tayari kukana yote walivyowahi kuandika dhidi ya Manji kwa kukana vielelezo ya awali.
Aha ha ha hapo chamani sasa watu wapo tayari kwa kufanya muamala wa haja endpo tu dau linawekwa mezani.
Akili kumkichwa.
Edo kawashitukia sasa mnamdenda KanjibaiCcm hatari, hata vibinti vidogo roho mbaya kama shetani! Au ndiyo yale ya kuambiwa mtaishi kama shetani basi hata kufikiri kama shetani?
Manji ni diwani wenu, katoa ajira zaidi ya elfu tano. Akikosa anasemwa lakini akionewa anatetewa. Wewe mabwana zako kumchukia Manji basi hutaki wengine wamtetee? Mbunge gani wewe kikaragosi namna hii?
Huna akili kabisa ,Tanzania ya sasa ina step kutoka kwenye umasikini kwenda kwenye ufukara. Tuna shida sana kipindi hiki kuliko vipindi vya uongozi wowote Tz na hatuwezi kusikiliza propaganda zenu tena , bora kuchagua jiwe kuliko CCM kama mhusika anafikiria vizuri na ana akili timamu.Ukiwa mwenye kumbukumbu utagundua mahaba ya makadanda kwa Manji yamechagizwa na njaa ya akili na tumboni. Kumbuka alivyofanyiwa Lowassa.
Vijana wengi wanajiita basichaa kwa sasa wamefungua vinywa wakijinadi kama "wasafishaji".
Waandishi nguli wa habari za uchunguzi sasa wapo tayari kukana yote walivyowahi kuandika dhidi ya Manji kwa kukana vielelezo ya awali.
Aha ha ha hapo chamani sasa watu wapo tayari kwa kufanya muamala wa haja endpo tu dau linawekwa mezani.
Akili kumkichwa.
Huna akili kabisa ,Tanzania ya sasa ina step kutoka kwenye umasikini kwenda kwenye ufukara. Tuna shida sana kipindi hiki kuliko vipindi vya uongozi wowote Tz na hatuwezi kusikiliza propaganda zenu tena , bora kuchagua jiwe kuliko CCM kama mhusika anafikiria vizuri na ana akili timamu.
Aisee andishi lako haileweki , ebu tafuta mtu akuelekeze labda ulikuwa na point ya maana.Ukiwa mwenye kumbukumbu utagundua mahaba ya makadanda kwa Manji yamechagizwa na njaa ya akili na tumboni. Kumbuka alivyofanyiwa Lowassa.
Vijana wengi wanajiita basichaa kwa sasa wamefungua vinywa wakijinadi kama "wasafishaji".
Waandishi nguli wa habari za uchunguzi sasa wapo tayari kukana yote walivyowahi kuandika dhidi ya Manji kwa kukana vielelezo ya awali.
Aha ha ha hapo chamani sasa watu wapo tayari kwa kufanya muamala wa haja endpo tu dau linawekwa mezani.
Akili kumkichwa.
Zilipendwa enzi za Nyerere hizo.Hujawahi kupanga foleni ya sukari kuanzia tisa za usiku.
Hujawahi kuishi Tanzania iliyokuwa masikini wa mwisho duniani.
Usiongee usivyovijuwa.
Kwahiyo unataka tukaishi huko au? Nenda kaishi peke yako maisha hayo, tushapita. Unafanana na mzazi anayelinganisha maisha aliyoishi yeye miaka ya 40 kwenda kusoma chini ya muembe na miaka hii?Hujawahi kupanga foleni ya sukari kuanzia tisa za usiku.
Hujawahi kuishi Tanzania iliyokuwa masikini wa mwisho duniani.
Usiongee usivyovijuwa.
Kwahiyo unataka tukaishi huko au? Nenda kaishi peke yako maisha hayo, tushapita. Unafanana na mzazi anayelinganisha maisha aliyoishi yeye miaka ya 40 kwenda kusoma chini ya muembe na miaka hii?
Baadhi ya nyie watoto wa 90s huwa mnaandika utumbo sana. We unga wa yanga unaujua, ushaona mtu kavaa kaniki na unajua kuwa ufundi viraka ilikuwa kazi maarufu sana??Huna akili kabisa ,Tanzania ya sasa ina step kutoka kwenye umasikini kwenda kwenye ufukara. Tuna shida sana kipindi hiki kuliko vipindi vya uongozi wowote Tz na hatuwezi kusikiliza propaganda zenu tena , bora kuchagua jiwe kuliko CCM kama mhusika anafikiria vizuri na ana akili timamu.
Huna akili kabisa ,Tanzania ya sasa ina step kutoka kwenye umasikini kwenda kwenye ufukara. Tuna shida sana kipindi hiki kuliko vipindi vya uongozi wowote Tz na hatuwezi kusikiliza propaganda zenu tena , bora kuchagua jiwe kuliko CCM kama mhusika anafikiria vizuri na ana akili timamu.
Mimi na wewe nani Nyumbu halisi? Nyumbu wanaishi huko Afrika kwenye Joto huku hakuna Nyumbu. Shida inaweza kuwa na tafsiri yenye mtizamo tofauti kwa mtu tofauti na mazingira tofauti. Maisha ya ujanja siyajui, sijawahi kuyaishi na wala sitayaishi. Dini yangu haukunifundisha maisha hayo na pia haikunifundisha unafiki. Nani anaongoza Taifa lenu la Tanganyika mimi hainiathiri chochote. Hilo ukae tena ulijue vizuri ajuza weye.Soma huu uongo alioandika nyumbu mwenzio:
"Tuna shida sana kipindi hiki kuliko vipindi vya uongozi wowote Tz".
My take, kama umezowea kuishi kwa ujanja-ujanja lazima uone shida wakati huu wa kuishi kihalali.
Mimi huwa najiuliza hivi ni kwanini vijana wa lumumba hamna weredi?Ukiwa mwenye kumbukumbu utagundua mahaba ya makadanda kwa Manji yamechagizwa na njaa ya akili na tumboni. Kumbuka alivyofanyiwa Lowassa.
Vijana wengi wanajiita basichaa kwa sasa wamefungua vinywa wakijinadi kama "wasafishaji".
Waandishi nguli wa habari za uchunguzi sasa wapo tayari kukana yote walivyowahi kuandika dhidi ya Manji kwa kukana vielelezo ya awali.
Aha ha ha hapo chamani sasa watu wapo tayari kwa kufanya muamala wa haja endpo tu dau linawekwa mezani.
Akili kumkichwa.
Afadhali ndugu yangu umeligundua hiloUmeandika nini hapa
Nawashangaa sana watu wa ccm,hawana hata uwezo wa kufikiri nini waandikeCcm hatari, hata vibinti vidogo roho mbaya kama shetani! Au ndiyo yale ya kuambiwa mtaishi kama shetani basi hata kufikiri kama shetani?
Manji ni diwani wenu, katoa ajira zaidi ya elfu tano. Akikosa anasemwa lakini akionewa anatetewa. Wewe mabwana zako kumchukia Manji basi hutaki wengine wamtetee? Mbunge gani wewe kikaragosi namna hii?
Huna akili hata kiduchuEdo kawashitukia sasa mnamdenda Kanjibai