Mahaba Niue

Mahaba Niue

Tee Bag

JF-Expert Member
Joined
Dec 21, 2013
Posts
7,220
Reaction score
5,626
Mwanaume unakwenda saluni kusafisha kucha,
Mapenzi yalikua zamani bhana
 

Attachments

  • 1418358732008.jpg
    1418358732008.jpg
    21 KB · Views: 1,323
Hii iko mwanzoni sn mwa ndoa na mwishoni ktkt huipati kabsa
 
Huyo anatolewa funza....nilishawahi kuona hilo tukio TANGA....wilaya ya HANDENI.....kuna funza balaa..........
 
Si ajabu hapo ni sangoma na mteja wake...
 
Ni Mahaba ndio maana bi Mkubwa nguo iko juu ya goti ...hata kama yeye amekoma
 
hata vijana wanayo mahaba
 

Attachments

  • 1418379209863.jpg
    1418379209863.jpg
    25.2 KB · Views: 298
Huyo atakuwa kwa mganga wa kienyeji wewe wasema eti mahaba niue
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom