Demu: Baby ninamimba yako..
Jamaa: What? Daah ila hata mimi mwenyewe nahisi nina Ebola. Sasa kama vipi naja kukupitia twende hospitalini baby wangu
Demu: Mxiiuuww baby wako nani? Nyoo kaa huko huko na gonjwa lako eboo tusiambukizane buree!!!
Hehehehe �� �� �� ni sheedaaa