Mahaba Juu ya Huba Matata......

Kasie

Platinum Member
Joined
Dec 29, 2013
Posts
22,805
Reaction score
43,230
Walaahi Dadii.....

Nimekufa nimeoza juu yako sio kwa mahaba haya unayonipa. Kila siku unanizidishia dozi nazidi kulewa Kasie mie, sipumui sifurukuti kwako.

Marufuku yako kwangu ni desturi. Nakupenda kama mshahara maana unanitunza unaniweka mjini unani fanya nadamshi utasema nina miaka 25 kumbe...... 48 hehehehehehe.

Aaaiiilaaabyuuuu Dadiii....

Ona sasa ona... mahaba yako yanakonipeleka kila leo nakutungia mashairi kutoka kwenye ubongo wangu uliojaa Mahaba....

Ona sasa ona... huu moyo ungebaki nao nifanye kivuli
Ruksa kuniteka unifungie tuli

Mwaafulanii anauliza umenipa nini...
Kwa udi na ubani, nimekulia yamini. ...
Wanaonitamani wapo ila sijaona zaidi yako....
Nakupenda pekeyako, kwako nimekoma......

Ona sasa ona....
Haya mahaba haya, huu mwaka huu, huu mwezi huu.... umenipa yote mapenzi hata sitaki kuomba poo.... nanogewa na utamu wako kila leo.


Nakupenda Dadii acha ulimwengu wote wajue. Wewe ni kila kitu kwangu, asubuhi ndo stafutahi yangu, mchana ni upepo mwanana uvumao kwangu na usiku ni njozi njema kwenye ulimwengu wangu.

K' Matata Dadii.
 

Hahahaaa Kasie bana!

Hivi kwa nini watu wanadhani mimi ndo Dadii??

I guess ndo JF hiyo.

Watu wanajua watu kuliko watu wanavyojijua wao.

Anywho, your Dadii must be super duper happy.

Coz the passion you have for him is off the chain.

Shout out to Kasie’s Dadiiiii.
 
Mama mpende sana dadii

Nampenda mnoo mnoo mnoo kupita upeo....

Upendo wa zaidi ya mama na mwana...

Upendo wa Dadii na Kasie ni Matata.
 
Hahahaaa Kasie bana!.

Abeeeh Ngabuu....

Hivi kwa nini watu wanadhani mimi ndo Dadii??
.

Yaani hata sielewi Nyani, kwanza msukuma na mnyamwezi ni mtu na binamu yake yawezekana ikawa nyama ya hamu...!!! Ila tukikaa nyumba moja si tutafanyiana vurugu hadi majirani watushitaki kwa mjumbe...!! hehehehehee maana mie mkorofi wewe mchokozi.

Labda sababu huwa tunataniana hapa na pale na wao wanachukulia matani kuwa ni kweli na wengine wakatabiri kuwa tuoane kabisaa heheheheheee.

Au tufanye kweli....... najaribu kuwaza watanuna au watafurahi maana wanatabiri kuliko kaka kuona hehehehee. Ila wanashauku kubwa sana ya kumfahamu Dadii ni nani aiseeh, na mie nimemwambia Dadii usijitokeze hata kidogo wee nisome ufurahi na roho yako na wewe Jabuu tafadhali usije ukamtaja Dadii maana unamjua fika......

I guess ndo JF hiyo.

Watu wanajua watu kuliko watu wanavyojijua wao.

Oooh yeah, na wanayengenezeana sumu huko chinichini wakiulizana ndo huyu ndo yule atakuwa ndo flani kumbee....


Anywho, your Dadii must be super duper happy.

Umejuajeee, he is super happy yaani kuna muda huwa anavusha mavurugu ya Kaise anajikuta anatabasamu na kucheka kwa raha na bashasha. Jinsi ninanvyompenda Ddadii vile alivyo bila kujali alichinacho au asichonacho... Mungu mwenyewe anajua Mahaba ya Venus kwenda Mars ni noumaa.

Coz the passion you have for him is off the chain.

You said it all..... deep down the love is emerging and growing everyday like a boiled Pumpkin soup.... hehehheee
Shout out to Kasie’s Dadiiiii.
Woooyooowooyooowoooyooo.....

Shout out to you Dadiii...

Mmmuuuahhh!!!

NB: Swali la kizushi kwako Nyabu, wewe hauna wako wa ubani?
 

Hey, my name is not Nyabu.

My name is Njabu.

Oooos....Ngabu.....

Heheeee hebu fanya kazi. Ukiendelea na uchokozi nakusemea kwa Da Hil.....
 
Wewe na Dadii ndo huwaga mnacheza hivyo?

View attachment 955378

Hhahahahhahahahaaha damn you....!!!! *** you..... Jabuuu

Utafanya nikakate tiketi kabla likizo haijaanza..... hehehehheheee

Ona sasa ona.... ona sasa onaa...

You know what Jabuu, we do many dances...that's one of the dances we do. Ila hiyo inabambaa aahahahahahhaaa

Umenikumbsha enzi za .... Ni Wakati wa Bambataaaaaa......

Swali la kizushi: Can you dance like that ???...
 
Hey, my name is not Nyabu.

My name is Njabu.

Oooos....Ngabu.....

Heheeee hebu fanya kazi. Ukiendelea na uchokozi nakusemea kwa Da Hil.....

Hhahahahahaa na kuna kazi yake anaisubiri looh, we subiri tuuu, unajua nini ntafanya.... janja yako Cecy tuu hahahahahhaaa

Byeee.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…