Magwiji wa soka Ulaya na Amerika Kusini, wapi wanakukosha?

mchukunuzi

Member
Jan 2, 2017
89
89
Habari wadau, kwa miaka na karne nyingi mchezo wa mpira umekuwa ukijizolea mashabiki lukuki kutoka pande mbali mbali za dunia, kutokana na utamu wa mpira wako ambao wanakuwa machizi wa mpira, pia wapo ambao ni walevi wa mchezo huo, lakini Yapo mengi yaliyoshuudiwa kutokea katika mchezo huo ambayo hayatoshi kuelezewa humu. Sasa wewe kwa mtazamo wako kati ya bara la Amerika kusini na Bara la Ulaya kwa ujumla ni wapi hasa umekoshwa na vipaji vyake tangu miaka hiyoooooo toa maoni angalau kwa kutaja japo mchezaji mmoja
FB_IMG_1486962738430.jpg
 
kudadadeki South America noma...hiyo line uo ywnyewe ina almost nchi mbili tu...bado kina Sallas na wengine kibao
 
Back
Top Bottom