Mkuu Ubongo Kid, thanks for this but to drive your point home, tell it by the the language they can understand.Looking at the Tanzanian economy at present,No body can tell for sure if the economy s booming or shrinking.Nobody can tell if we are in depression or recession or at the peak of our economic cycle.
I have not gone into much details to help gide government policies and making peoples life better.
Mkuu Ubongo Kid, thanks for this but to drive your point home, tell it by the the language they can understand.
Huku kuelezea jambo kubwa, jema, zuri lenye manufaa na maslahi kwa taifa letu kwa kutumia lugha za mabeberu, na huku unajua kabisa hii lugha na sisi wapi na wapi, sijui kama utasaidia sana kivile au utasikika
Akisema mzungu kwa lugha ya kizungu, angalau tutasikia lakini akisema mswahili kwa lugha za mabeberu!, sijui kama atasikia!.
P
P
Halafu maafisa usalama walikuwa na tabia ya kurithisha kazi hiyo kwa watoto wao
Mkuu Paskali,Nakubaliana nawe,Ila chaguo langu la lugha linalenga zaidi kuweka perspective na sio kuzuia watu kuelewa kwani naamini kwamba huko mashuleni watu tumefundishwa kimombo cha kutosha kabisa.Nitajitahidi.Mkuu Ubongo Kid, thanks for this but to drive your point home, tell it by the the language they can understand.
Huku kuelezea jambo kubwa, jema, zuri lenye manufaa na maslahi kwa taifa letu kwa kutumia lugha za mabeberu, na huku unajua kabisa hii lugha na sisi wapi na wapi, sijui kama utasaidia sana kivile au utasikika
Akisema mzungu kwa lugha ya kizungu, angalau tutasikia lakini akisema mswahili kwa lugha za mabeberu!, sijui kama atasikia!.
P
P
Nyie watoto wa shule za academy mnasumbua!, yaani kwa elimu ya Tanzania, unaamini kuna watu wanajua hadi Keynesian Economics inayo emphasize the government increased spending and lower taxes to stimulate the economy wakati mwenzako anahubiri kubana matumizi na kuzuia spending na kuongeza kodi!.Mkuu Paskali,Nakubaliana nawe,Ila chaguo langu la lugha linalenga zaidi kuweka perspective na sio kuzuia watu kuelewa kwani naamini kwamba huko mashuleni watu tumefundishwa kimombo cha kutosha kabisa.Nitajitahidi.
Kila siku nasema elimu yetu ni mbovu, lakini hatulioni hilo? Kwa msaada wajina ni wakati Sasa wakutoa njia sahihi ya katika hili.Nyie watoto wa shule za academy mnasumbua!, yaani kwa elimu ya Tanzania, unaamini kuna watu wanajua hadi Keynesian Economics inayo emphasize the government increased spending and lower taxes to stimulate the economy wakati mwenzako anahubiri kubana matumizi na kuzuia spending na kuongeza kodi!.
Vitu vingine ni kazima tusaidiwe na wachumi wetu.
Akina sisi kazi yetu sikuzote ni kuuliza tuu
Uchumi wa Magufuli: Sekta Binafsi ina-Suffer. Yalianza Maduka, Yakafuata Mashirika, Sasa ni Zamu ya Media Ina-suffer
Wanabodi Kasi ya kukua kwa uchumi wa Tanzania ya Magufuli, ambayo umekuwa ukikua kwa asilimia zaidi ya asilimia 7% kwa mwaka, ukuaji huu is not reflected kwa Watanzania wa hali ya chini ambao ndio walio wengi, tunaelezwa uchumi unakuwa, na ripoti ya juzi juzi ya UNDP inaeleza kiwango cha...www.jamiiforums.com
uchumi wa Tanzania ya Magufuli, ambayo umekuwa ukikua kwa asilimia zaidi ya asilimia 7% kwa mwaka, ukuaji huu is not reflected kwa Watanzania wa hali ya chini ambao ndio walio wengi, tunaelezwa uchumi unakuwa, na ripoti ya juzi juzi ya UNDP inaeleza kiwango cha umasikini kinapungua Ripoti: Kiwango cha umasikini kinapungua kwa kasi - JamiiForums lakini hali za maisha kwa walio wengi, zinazidi kuwa ngumu siku hadi siku, uchumi wa taifa unakuwa, huku uchumi wa watu individual na sekta binafsi ukizidi kuporomoka ambapo sekta binafsi ambayo ndio inategemewa kuwa the drivers we uchumi wa nchi ikiwemo Tanzania ya viwanda, ndio mhanga mkuu wa mdororo wa uchumi na ndiye anaye suffer the most.
Kwa upande wa maendeleo, ni kweli nchi yetu inapiga hatua kubwa za maendeleo
Je, Maendeleo ya Kweli ni Maendeleo ya Watu au Vitu?-
Wachumi Tusaidieni, Magufuli Analisaidia Taifa au Ataliangamiza?. - JamiiForums
Tuache Siasa ktk Uchumi: Wachumi tuelimisheni Dhambi ya Fixed Deposit na Faida ya Fedha Kukaa tu BoT - JamiiForums
Mnatambua kuwa baadhi ya Maamuzi ya Magufuli yanaligharimu Taifa kiuchumi? - JamiiForums
Jarida la The Economist ladai uchumi wa Tanzania unaporomoka, lahamasisha Rais Magufuli adhibitiwe kwa vikwazo kiuchumi - JamiiForums
Kupata Maendeleo ya Kweli, Tanzania Inahitaji Systems Not Dramas, Ze Comedy na One Man Shows!. - JamiiForums
Maendeleo ya kweli TZ Yataletwa na Elimu na Ukweli. Tusidanganye, Tusidanganywe, Tusidanganyike! - JamiiForums
Kuzorota uchumi: Stone Block wafungasha virago! - JamiiForums
Uchumi wa Magufuli: Precision Air Yapumulia Machine. Yapunguza Wafanyakazi 136! - JamiiForums
IMF: Nearly half of Tanzania's banks vulnerable to financial shocks - JamiiForums
Star Tv na Redio Free kupunguza wafanyakazi - JamiiForums
Mti wa Xmas wazua simanzi kwa wafanyakazi wa The Guardian Limited - JamiiForums
P
Mkuu Ubongo Kid, thanks for this but to drive your point home, tell it by the the language they can understand.
Huku kuelezea jambo kubwa, jema, zuri lenye manufaa na maslahi kwa taifa letu kwa kutumia lugha za mabeberu, na huku unajua kabisa hii lugha na sisi wapi na wapi, sijui kama utasaidia sana kivile au utasikika
Akisema mzungu kwa lugha ya kizungu, angalau tutasikia lakini akisema mswahili kwa lugha za mabeberu!, sijui kama atasikia!.
P
PMkuu Ubongo Kid, thanks for this but to drive your point home, tell it by the the language they can understand.