TimeBomb
Member
- Feb 1, 2013
- 89
- 39
Hii nchi imeoza Mh. Rais kuhusu majipu hadi unamaliza miaka yako 10 hutayamaliza, Madudu ni mengi na Issue ni Mindset ya kila mtanzania ndio iko affected na mauozo na tumeyahalalisha na kila mmoja anawajibika kwenye sehemu yake...
USHAURI: JPM atoe probation ya maybe 6 months ya kila mtu kujirekebisha na kuclear uozo wake then to refresh upya system kuanzia hapo atakaefumwa na kosa miaka 100 au kunyongwa, wherever!!.....
USHAURI: JPM atoe probation ya maybe 6 months ya kila mtu kujirekebisha na kuclear uozo wake then to refresh upya system kuanzia hapo atakaefumwa na kosa miaka 100 au kunyongwa, wherever!!.....