Magufuli vunja jengo la TANESCO

Magufuli vunja jengo la TANESCO

mdukuzi

JF-Expert Member
Joined
Jan 4, 2014
Posts
22,312
Reaction score
55,970
John Pombe Magufuli aliwahi kukaririwa kuwa atayabomolea mbali makao makuu ya shirika la umeme TANESCO. Mimi naona muda ndio huuu kwani hawana umuhimu wa kukaa kwenye jengo kama lile lenye hadhi nzuri tofauti na utendaji wao ,bomoa haraka warudi kwenye kibanda chao pale stesheni,umeme bei juu bado unakatika katika.

TANESCO.jpg
 
john pombe magufuli aliwahi kukaririwa kuwa atayabomolea mbali makao makuu ya shirika la umeme TANESCO mimi naona muda ndio huuu kwani hawana umuhimu wa kukaa kwenye jengo kama lile lenye hadhi nzuri tofauti na utendaji wao ,bomoa haraka warudi kwenye kibanda chao pale stesheni,umeme bei juu bado unakatika katika

TANESCO.jpg

Umesikika! Vema na milele. Mnao amini Albadri, waisomee tanesco ife kesho
 
Hawezi kuvunja, Jengo lime jengewa NA kodi yangu NA yako
 
Hata steshen pamejengwa jengo zuri sana la kisasa kwahy hatakuwa hajawakomoa..cha msingi vunja tanesco yame mashirika mawili yaani uzalishaji na usambazaji ndo utaona tija hii taasisi
 
Wewe akili yako ndiyo imekutima kuwa kushuka kwa bei za umeme ni kuvunja jengo kweli hii nchi inawatu wengine vituko.
 
Wewe kibonde kweli mkuu hayo mawazo yako yanafungamana kabisa na yule mzee mpishi wa gongo.

Gongo si hoja, kuna mawaziri, na watu mashuhuri wamesomeshwa na gongo, si ajabu na wewe kwa namna moja au nyingine! Kuna bibi yako say, alikupa senti kidogo za kuendea shule ambazo alizipata kwa kuuza gongo!
 
John Pombe Magufuli aliwahi kukaririwa kuwa atayabomolea mbali makao makuu ya shirika la umeme TANESCO. Mimi naona muda ndio huuu kwani hawana umuhimu wa kukaa kwenye jengo kama lile lenye hadhi nzuri tofauti na utendaji wao ,bomoa haraka warudi kwenye kibanda chao pale stesheni,umeme bei juu bado unakatika katika.

TANESCO.jpg

Picha ya Jengo hilo ni ya mwaka gani vile?hebu tukumbushane.
 
Magufuli hakuzungumzia hilo bali hili hapa lililopo ndani ya road reserve

tanesco6_488_280.jpg

Kwamba jengo hilo liko katika road reserve hizo ni propaganda za magufuli na hazina ukweli wowote. The Dar es Salaam Master Plan inatambu kuwa barabar kuu zote ndani ya Jiji zitakuw ana reserve ya mita 30 tu toka katikati ya barabara kila upande. Kali leny ya barabara haitakiwi kupungua mita 3.25, hivyo katika upana huo zinaweza kujengwa lanes 18 au chini ya hapo na kuacha ardhi ya kutosha kwa shughuli zingine kama vile njia za watembea kw amiguu, baiskeli, pikipiki, maegesho ya magari na hata usafiri wa treni. Katika miaka 52 ya uhuru tuemeweza kujenga lanes mbili katika barabara ya Morogoro. Itatuchukua miaka mingapi kujenga hizo lanes 18. Je ni kwanini tubomoe mali za watu walioko nje ya eneo halali laroad reserve kwa utashi wa mtu mmoja tu?

Vitendo vya Magufuli kudai ardhi kubwa kuliko kiasi hicho kisheria ni ulafi wa kuwapokonya wanyonge ardhi yao kama alivyofanya katika nyumba za serikali.
 
Kwanza jengo la ubungo co mali ya tanesco ni mali ya rostam aziz, tanesco wamepanga tu kama tanroads makao makuu walivopanga zain\airtel hous moroco
 
swala sio kuvunja, issues kwa nini uharibu kitu cha gharama namna hiyi. Alafu ile ni mali ya umma. Barabara inaweza kuhamishwa!!
Magufulu yuko mechanical sana, barabara inaweza ikifika pale ikafanyiwa mapambo lile jendo likawekwa katikati kama round about fulani hivi na pakapandwa na garden nzuri inakuwa kama urembo lakini umeokoa kuvunja mali ya umma ya gharama kubwa. Magufuli anasimamia sheria ndio lakini awe na interface nzuri kidogo inapofika kwenye issue ya kubomoa mali ya umma. Ndo mana mtoto wa mkulima akamtolea uvivu akampa ukweli.

John Pombe Magufuli aliwahi kukaririwa kuwa atayabomolea mbali makao makuu ya shirika la umeme TANESCO. Mimi naona muda ndio huuu kwani hawana umuhimu wa kukaa kwenye jengo kama lile lenye hadhi nzuri tofauti na utendaji wao ,bomoa haraka warudi kwenye kibanda chao pale stesheni,umeme bei juu bado unakatika katika.

TANESCO.jpg
 
John Pombe Magufuli aliwahi kukaririwa kuwa atayabomolea mbali makao makuu ya shirika la umeme TANESCO. Mimi naona muda ndio huuu kwani hawana umuhimu wa kukaa kwenye jengo kama lile lenye hadhi nzuri tofauti na utendaji wao ,bomoa haraka warudi kwenye kibanda chao pale stesheni,umeme bei juu bado unakatika katika.

TANESCO.jpg
Wakati ni sasa
 
Mkuu Hatimaye ombi lako limesikilizwa
 
Back
Top Bottom