Magufuli Vs Mbowe

Magufuli Vs Mbowe

gasto genaro

JF-Expert Member
Joined
Oct 15, 2014
Posts
780
Reaction score
554
Wapo watu mbali mbali wasemao kuwa, Magufuli ni dikteta. Wapo pia wengine pia wasemao, Mbowe ni dikteta.

Hii ina maanisha hawa watu wana mfanano katika uongozi?

Naombeni tofauti zao..
 
Mmoja ana Phd mmoja alishindwa kupata walau alama za kupata cheti cha kidato cha sita
 
Wapo watu mbali mbali wasemao kuwa, Magufuli ni dikteta. Wapo pia wengine pia wasemao, Mbowe ni dikteta.

Hii ina maanisha hawa watu wana mfanano katika uongozi?

Naombeni tofauti zao..
UKUTA: Huu ulibidi ushughulikie BORITI chamani Kabla ya Kuzunguka nchi nzima kushughulikia Kibanzi.
 
Mmoja kaja town juzi,huyo mwingine town kitambo!
Huyo mwingne ujanja kaujua juzi,wakati mwingne maujanja suplayaz kitambooo!
Huyo mwingne siasa kazijua juzi thats why anashindwa kutofautisha kati ya siasa za ndani mwake na zile nje ya nyumba yake,huyo mwingne ni the don wa siasa!
Huyo mwingne unashindwa kutofautisha:anaongea au anakaripiana na mtu,huyo wa uku ni tisha mazeee...rraaaa!
 
Mmoja ana Phd mmoja alishindwa kupata walau alama za kupata cheti cha kidato cha sita
YES, mmoja ana PHD ya Chemistry kama mimi ninayefanya kazi maabara japo ni za kitafiti, mwenzangu anafanya siasa! Huwa najiuliza kila wakati kuwa wale waliosomea Sayansi ya Siasa (Political Science) huwa wanafanya kazi gani? Na je, tunamtofautishaje mtu aliyesoma "pure science" akiwa anafanya siasa na yule ambaye hajafikia level hiyo kubwa ya elimu akiwa anafanya siasa?
 
Mmoja kaja town juzi,huyo mwingine town kitambo!
Huyo mwingne ujanja kaujua juzi,wakati mwingne maujanja suplayaz kitambooo!
Huyo mwingne siasa kazijua juzi thats why anashindwa kutofautisha kati ya siasa za ndani mwake na zile nje ya nyumba yake,huyo mwingne ni the don wa siasa!
Huyo mwingne unashindwa kutofautisha:anaongea au anakaripiana na mtu,huyo wa uku ni tisha mazeee...rraaaa!
Huo upuuzi, kwani shule JPM alisoma wapi?, si alisoma udsm, na mbowe downtown kafika lini?, ukae ujue umuhimu wa shule katika uongozi, ndio maana siku hizi wasomi wa chadema waliosikika sana enzi za JK wako kimya kabisa.
 
Mmoja amekijenga chama mpaka kikafikia hatua ya kukubalika na watanzania, mwengine amekikuta kimejengwa
 
Mbowe ni ZERO
MBOWE ni Mungu mtu
Mbowe anaongoza Vibendera
Mbowe mpenda madili
Mbowe mtata kwa Makapuku kwa wenye pesa mdogo kama pilitoni

Magu anaongoza Watanzania wote
Magu ana PHD
Magu hana urafiki na Majizi
Magu anamjua mungu
Nk

NB
WACHA KULINGANISHA MUONGOZA VIBENDERA NA RAIS WETU
 
Ha ha ha haaaaa.......Motochini!!,you have made my day brighter!!!
 
Back
Top Bottom