lacuna
JF-Expert Member
- Aug 19, 2015
- 653
- 168
Hawa ni wagombea wawili wanaolinganishwa sana katika kila corner ya Tanzania, Magufuli amezidi kushika kasi anaonekana kumzidi mwenzake katika kila sifa ambazo watu wamekuwa wakiziweka, mgombea huyo kupiitia CCM amekuwa akimzidi mpinzani wake katika kuendelea Kuitangaza vipaumbele vyake vya 2015-2020.