YEHODAYA
JF-Expert Member
- Aug 9, 2015
- 36,902
- 51,992
Mojawapo wa washauri wakuu wa Rais wanaoheshimika na kutambuliwa nchi yeyote duniani ni wabunge wa upinzani.
Rais huwategemea kama washauri wa kuaminika.Rais Kikwete ni mmojawapo aliyewachukulia wabunge wa upinzani kama watu wa maana na washauri muhimu wa kutumainiwa sana.
Akina MBOWE, TUNDU LISSU, GODBLESS LEMA, MCHUGUNGAJI MSIGWA na UKAWA kwa ujumla wakamshauri kuwa Lowassa FISADI awajibishwe asiwepo katika nafasi yake NA MAGAZETI YA akina Kubenea yakapigilia msumari. Wakapita kila kona kuwapa ushauri wananchi kuwa Lowassa fisadi.
Kikwete akausikiliza ushauri wao kwani aliamini kuwa hao wabunge ni washauri makini wasio ndumila kuwili wanaofaa kutegemewa na Rais wakileta ushauri wao.Akavunja baraza la mawaziri na kuliunda upya sawasawa na ushauri wao. Kilichofuata ni kumgeuka Kikwete na kumchukua Lowasa na kuanza kumnadi kama mgombea uraisi wakimwita mtu safi!
Ushauri wangu Kwa Magufuli wabunge wa upinzani hata uone wanafoka na kutoa mimate bungeni wapuuze tu.Kama ni ushauri tegemea kutoka maeneo mengine sio kutoka kwa vigeu geu watu wasioaminika kama hao wa upinzani.Watu kama Tundu Lisuu, Mbowe, Godbless lema, Mchungaji MSIGWA, KUBENEA.
Safari hii usifanye kosa la Kikwete.Aliwasikiliza sana kumbe anasikiliza watu vigeu geu.Na mshauri wa Rais hatakiwi kuwa kigeu geu.Kwa ukigeu geu wao hawafai tena kuwa washauri wa Rais.
Rais unawajua wanavyotoa mimacho bungeni.Wakiongea unaweza sema watetea nchi si ndio hawa! Kumbe hamna kitu.Mawaziri pia nawaomba wala msipande presha.Wakiongea wapuuzeni tu.

Last edited by a moderator: