iparamasa
JF-Expert Member
- Nov 14, 2013
- 13,437
- 14,927
Nchi hii INA Mbuga,maziwa,milima,wanyama na vivutio vingi kuliko nchi nyingi za afrika,tuna uwezo wa kuingiza trillion nyingi sana kama tutaipanua na kuipa mkazo,tuwekeze sana,tulinde vyanzo vya utalii,tujitangaze. Pia tufungue zones nyingi za kiutalii kuliko ilivyo sasa mila kitu TANAPA na SENAPA kuwekeza zaidi Kilimanjaro na arusha,kwa nini ukanda wa ziwa unasahaulika?nyanda za juu kusini?mtwara? Mbona kuna vivutio vingi sana kuliko Kilimanjaro na arusha?kwa nini mashirika ya nchi ya utalii haryana ofisi mwanza au mikoa yenye Mbuga nyingi? Mh rais weka mkazo kidogo utaona maajabu,ukiendelea na kutumbua majipu pia usisahau kuwa mbunifu wa vyanzo vya mapato