MAGUFULI TCU NI JIPU LILILOIVA

mwanakijiji lugusi

Senior Member
Apr 13, 2016
128
96
Wanaomba kuuliza hivi ile namba ya simu ya TCU iliwekwa kwa ajiri ya kazi gani? Haiwezekan karibia wiki ya tatu hii napiga tu inaita lkn haipokelew hivi hawajui wapo pale kwa ajiri ya sisi wananchi masikin?

Mwisho wa siku wakitumbuliwa na kipenz cha wanyonge wanakuja kulalamika kuwa wana familia zinazowategemea tena huwa wananukuu na vifungu vya biblia kutuamnisha kuwa wameonewa

BADILIKENI TCU SIE WANAFUNZI TUNAPATA CHANGAMOTO KWENYE UDAHILI
 
Poleni sana...

Ofisi nyingi za serikali wavivu sana kupokea simu zao, au kujibu barua pepe...

Cc: mahondaw
 
Wanaomba kuuliza hivi ile namba ya simu ya TCU iliwekwa kwa ajiri ya kazi gani? Haiwezekan karibia wiki ya tatu hii napiga tu inaita lkn haipokelew hivi hawajui wapo pale kwa ajiri ya sisi wananchi masikin?

Mwisho wa siku wakitumbuliwa na kipenz cha wanyonge wanakuja kulalamika kuwa wana familia zinazowategemea tena huwa wananukuu na vifungu vya biblia kutuamnisha kuwa wameonewa

BADILIKENI TCU SIE WANAFUNZI TUNAPATA CHANGAMOTO KWENYE UDAHILI
Ungekua na akili ungeandika magu awaongezee mishahara ili wapate moyo wa kujituma kazin
 
Yaani hivi ninavyo andika Nina hasira na MUHAS admission officer wa postgrduate nimepiga simu tangu saa mbili asubuhi amepokea saa tano ,Nika mweleza shida yangu akaniambia baada ya nusu saa nimpigia tangu saa tano na nusu mpaka Sasa hajapokea simu tena
 
Back
Top Bottom