Magufuli selema

Kama UKAWA wanategemea wapewe UZOEFU wa siasa na Bwana Sumaye magufuli mogogoni njiaaa nyeupeee.
 
maana ya selema kikabila gani hicho?
 
Wanaendelea kuigiza watu wana moyo mgumu kweli
 
Ccm wana hali mbaya, mimi nayakumbuka matusi ya nzee nkapa tu
 
....kwa hali hii magufuki wa watu anadanganywa live, hata kura milioni mbili hafikishi, bhahahhaaaaaaa.....kwi kwi kwiwkwiii...
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…