Magufuli sasa ni kuapishwa tu

Magufuli sasa ni kuapishwa tu

Jamani izo picha mbona ni zile za morogoro hadi watu wlikufa kwa kufungiwa mageti. Au mmesahau?
 
Kwa mfano picha ya kwanza kwenye olo bango utaona hata jina la abood ambae ni mgombea wa morogoro mjini lipo hapo, fah mnaanza kurudia picha za zamani kwani za sasa hamna? acheni izo wala kura hazitaongezeka kiivo
 
[h=3]
12019861_848323861933032_7382706676116390116_n.jpg
[/h]
12027763_848324055266346_1288463737982467155_n.jpg


12063726_848324358599649_1341077963228418288_n.jpg


12032090_848324441932974_4294691154190865938_n.jpg


12049398_848324758599609_7202973697468452376_n.jpg


12063381_848325025266249_812359387137714071_n.jpg


Acha ubishi na kutokwa povu, wengi zaidi washaamua. Wanamuamina kwa sababu ya historia yake wake utumishi serikalini katika wizara mbalimbali ambapo kote alikopita anasifika kwa UCHAPAKAZI, UADILIFU, UFUATILIAJI,UTEKELEZAJI NA MWENYE MSIMAMO katika usimamizi na utekelezaji wa sheria. Huyu ndiye Dr. MAGUFULI bwanaaaaaa.......
Nakusihi tuungane na walio wengi kumpa kura nyingi za kishindo akatutumikie....


Mm na familia yangu tumeshashona sare wote kwa ajili ya kwenda kusherekea akiapishwa
 
Back
Top Bottom