Magufuli sasa ni kuapishwa tu

Magufuli sasa ni kuapishwa tu

Mr Chin

JF-Expert Member
Joined
Apr 2, 2015
Posts
4,625
Reaction score
1,024
[h=3]
12019861_848323861933032_7382706676116390116_n.jpg
[/h]
12027763_848324055266346_1288463737982467155_n.jpg

12063726_848324358599649_1341077963228418288_n.jpg

12032090_848324441932974_4294691154190865938_n.jpg

12049398_848324758599609_7202973697468452376_n.jpg

12063381_848325025266249_812359387137714071_n.jpg

Acha ubishi na kutokwa povu, wengi zaidi washaamua. Wanamuamina kwa sababu ya historia yake wake utumishi serikalini katika wizara mbalimbali ambapo kote alikopita anasifika kwa UCHAPAKAZI, UADILIFU, UFUATILIAJI,UTEKELEZAJI NA MWENYE MSIMAMO katika usimamizi na utekelezaji wa sheria. Huyu ndiye Dr. MAGUFULI bwanaaaaaa.......
Nakusihi tuungane na walio wengi kumpa kura nyingi za kishindo akatutumikie....

Cheo cha Silva Rweyemamu kinagombewa na wengi sana, Mr. Chin ongeza bidii uwashinde wenzio hapo Lumumba
 
12019861_848323861933032_7382706676116390116_n.jpg

12027763_848324055266346_1288463737982467155_n.jpg

12063726_848324358599649_1341077963228418288_n.jpg

12032090_848324441932974_4294691154190865938_n.jpg

12049398_848324758599609_7202973697468452376_n.jpg

12063381_848325025266249_812359387137714071_n.jpg

Acha ubishi na kutokwa povu, wengi zaidi washaamua. Wanamuamina kwa sababu ya historia yake wake utumishi serikalini katika wizara mbalimbali ambapo kote alikopita anasifika kwa UCHAPAKAZI, UADILIFU, UFUATILIAJI,UTEKELEZAJI NA MWENYE MSIMAMO katika usimamizi na utekelezaji wa sheria. Huyu ndiye Dr. MAGUFULI bwanaaaaaa.......
Nakusihi tuungane na walio wengi kumpa kura nyingi za kishindo akatutumikie....

Tazama ilivyo ya kupendeza, rangi nzuri ya kijani na manjano. Tazama walivyopendeza watu waliovaa mavazi haya! #HapaKaziTu chagua MAGUFULI.
 
Ile siku Magufuli atapokula kiapo, ntacheza, ntaruka na ntajidai kupata rais bora, siyo bora rais
 
ng'oooooooooooooo hata kwa dawa mimi na familia yangu hatutampa kura magufuri ng'ooooooooo
 
hao watu mnazunguka nao sijui mnawatoa wap na sare zenu.leo magufur alikuw moshi bar ni hatar hizo uda zimeleta watu cjui wanatka wap bas kama 20
 
Picha za kuunga unga hizo hizo.

kwenye ITV niliona wanaonyesha nyomi, mtangazaji akajisahau wakati alipojitokeza yeye ile nyomi haikuwepo ndio nikajua kumbe mr chin na makufuli wenu ni matapeli.

Haitawasaidia kuunga picha.
 
Attachments

  • 1444901852793.jpg
    1444901852793.jpg
    49.8 KB · Views: 303
Lowassa Kwisha habari yake. Chagadema Kwisha habari yao.
 
Back
Top Bottom