displayname
JF-Expert Member
- Feb 15, 2013
- 1,972
- 1,091
Jamani vyeo vingine ukipandishwa ni msala! Unatumika balaa hata walio chini yako wana afadhali ingawa hela nayo inaongezeka ila unaweza kuona sometimes money is not everything.
Ukupongezwa u shukuru sio bla blaah haha hongeraaa kukwea cheo ma majukumu plus bango kitika kuongezeka!!!