Hakika, Watanzania tumerogwa.We ukisema wa nn wenzako wanasema watampata lini,
Hata matusi anayokunywa kutoka kwa hawa wapinzani uchwara ni kwa sababu ni tishio kwaoMagufuli ni maarufu na dira ya Africa, wengi sana wanamtamani Rais wetu amekua ni model kila mtu anaetaka kumkosoa Rais wake anamlinganisha na Magufuli, Magufuli tunakukubali sana.
Mchaka mchaka Chinja! Alemselema Chinja!Wanaojua thamani ya Rais Magufuli.
Unaumwa wewe.wamchukue
Magufuli anakubalika sana na wananchi, ukikaa hapa jf ndio utaona upinzani ila mitaani na vijijini Magufuli anapendwa sana kwenye mitandaoni mingine Facebook, YouTube wachangiaji wengi wanamkubali MagufuliMagufuli ni rais wa aina yake afrika, angekuwa kwenye mataifa ambayo yana upinzani badala ya majungu angeongoza maisha
Kwei kabisa. Watanzania tungekuwa wajinga, kuna kikundi cha watu wachache wajinga wangeweza kutufikisha walikofikishwa Walibya kwa ujinga ujinga tu.Nabii hakosi heshima isipokuwa tu mahali alipozaliwa....
Sasa hawa nao utawaweka maanani kweli? Watu wanaotetea mafisadi na wanyonyaji hao nao ni wa kuwasikiliza? Mtu analitukana taifa lake nje ya nchi tena kwenye media live coverage? Tanzania hakuna upinzani mkuu kuna genge linalotafuna ruzuku kwa jina la upinzani.Hata matusi anayokunywa kutoka kwa hawa wapinzani uchwara ni kwa sababu ni tishio kwao
Mkuu kafungue ile video ya Msigwa YouTube akimnanga spika uone watanzania walivyomtapikia, Mara nyingi hapa jf ni wachache na hawana uhalisia wa kwamba ndio mtazamo wa jamii.Hata hapa jf, ni kakikundi fulani tu kanakoongozwa na kikabila fulanu kibinafsi ninafsi hivi
Thibitisha mkuu!Magufuli anakubalika sana na wananchi, ukikaa hapa jf ndio utaona upinzani ila mitaani na vijijini Magufuli anapendwa sana kwenye mitandaoni mingine Facebook, YouTube wachangiaji wengi wanamkubali Magufuli
Anakubalika kwa kutoajili tangu aingie, kwa kutopandisha mishahara, kuto toa increments kwenye mishahara, bomoabomoa anazoendesha Bila fidia na roho mbaya, ni lazima uwe... Ndo umpendeMagufuli anakubalika sana na wananchi, ukikaa hapa jf ndio utaona upinzani ila mitaani na vijijini Magufuli anapendwa sana kwenye mitandaoni mingine Facebook, YouTube wachangiaji wengi wanamkubali Magufuli