Magufuli ni waziri dhaifu, upo wapi uwezo wake wa kuchapa kazi?

12STONE

JF-Expert Member
Mar 16, 2013
1,109
1,475
Wana JF,

Viongozi aina ya Magufuli ndani ya CCM ndio wanaosifiwa kila kukicha ni wachapakazi.

Ni muda mrefu sasa najiuliza hivi uchapaji kazi wa Makufuli anaudhihirisha kwa mambo yapi hasa???

Tanzania kwa sasa tuna majiji matano (5),Jiji la Dar,Arusha, Mwanza,Tanga na Jiji la Mbeya.

Ni aibu tena yakupindukia kila kukicha Jiji la Dar,Mwanza na Arusha Kuna jums(foleni) barabarani.

Ulipopelekwa Wizara ya Kitoeo juhudi kubwa ilikuwa ni kukamata nyavu Haramu za kuvulia Samaki na ukawakamata watumiaji wa sumu na baruti, kidogo hapo ulijitahidi.

Lakini,Mbona hukuweza kuwadhibiti Wahindi wenye viwanda Wanaobeba Minofu ya Sato na Sangara huku raia wa kawaida hasa wapembezoni mwa Ziwa Victoria wakiambulia Masalia ya samaki yaliyoondolewa minofu, Kwa jina la kutufedhehesha yanaitwa MAPANKI.

Mbona hukuyakomesha Mapanki? Kwanini hukuweza kutoa hata Elimu kwa Wauza Dagaa ili ziingie kwenye soko la ndani na nje ya Nchi zikiwa kwenye Ubora wa hali ya juu???

Je! Utakubaliana nami kuwa wewe ni kiongozi dhaifu?

Sema Ndiyooooo!!! kama Wabunge wetu wa chama tawala wanavyoitika huku mjengoni kwa kila hoja hata kama ni yakupingwa wao jibu sahihi ni Ndioooo!

John P.Magufuli wengi wanakusifia lakini leo mimi niko kinyume na misifa hio,huenda ukanisikia na kunielewa ili ujirekebisha na kutenda kwa Busara na Bidii.

Wamekurudisha Wizara ya Ujenzi kufanya nini? Je! Ni kukariri Km za kutoka Singida Mjini Mpaka Mwankoko na kutoka Mwankoko Mpaka kata ya Mtunduru na kutoka Mtunduru Mpaka Wembere??? Hilo tu ndio Inatosha kweli!

Kukariri Ma kilometa haitoshi Tunataka hayo mnayoyaita MATOKEO MAKUBWA SASA (BRN) Viwe halisi kwa jamii. Msituimbie wimbo wa kucopy na kupesty hapa.Hatutaki!

Magufuli leo nakuuliza ni nini Kinafanya majiji yetu kuwa na Foleni kiasi hicho kila iitwapo leo?

Wakati ongezeko la watu mijini ni la kasi ya ajabu una mkakati gani wa kutuondoa kwenye ongezeko la hasara ya kuchelewa kuzalisha kwa kukaa kwenye Foleni masaa zaidi ya matatu???

Kama huwezi kuwa mbunifu wa kutuachia hata kumbukumbu ya barabara za juu (Flyover) Basi kweli wewe u dhaifu sana.

Ndani ya mwaka moja na miezi michache iliyobaki UTAFANYA NINI NA KUKIKAMILISHA KABLA CCM HAIJAONDOKA MADARAKANI???

Foleni tu isipoisha barabarani hasa kwenye majiji hayo Matatu Dar,Mwanza na Arusha huko ni kuutangazia UMMA WEWE NI DHAIFU NA UMEISHIWA MBINU JUU YA WIZARA YA UJENZI NA MIUNDO MBINU.

UNA BAHATI SANA MIMI NINGEKUWA JAKAYA MRISHO KIKWETE KWENYE ORODHA MPYA YA BARAZA LA MAWAZIRI USINGEONEKANA NG'OOOO!!!

Mh. Unayo Bahati sana tu.
 
12STONE

JF-Expert Member
Mar 16, 2013
1,109
1,475
Waziri Anakunywa siku hizi ? Suala Foleni barabarani sio kweli?
mnaimba kila siku uchumi unakua sana kwa kuweka asilimia kibao,Lakini mmesahau Foleni peke yake unadumaza uchumi wa Nchi yetu kukua.
 
ZeMarcopolo

JF-Expert Member
May 11, 2008
14,013
2,000
Waziri Anakunywa siku hizi ? Suala Foleni barabarani sio kweli?
mnaimba kila siku uchumi unakua sana kwa kuweka asilimia kibao,Lakini mmesahau Foleni peke yake unadumaza uchumi wa Nchi yetu kukua.

Mkuu, hivi madereva wakilewa gongo, foleni itaongezeka au kupungua?
 
Kiboko.

JF-Expert Member
Jul 31, 2013
2,838
2,000
Eti naww ukikaa na Bavicha wenzio unawaambia nmemchana magufuli jf, ha ha m sure watakuona bwabwa tym hyo hyo make yule hata Lissu roho mbaya anamkubali iweje leo ww punga moja toka Bavcha umepewa topic kuja iwasilisha mbele ya gt???! Shame on u
 
12STONE

JF-Expert Member
Mar 16, 2013
1,109
1,475
Bado utakuwa ni udhaifu wa viongozi wa Wizara husika maana siku hizi kuna vipimo vya kung'amua driver kanywa ama hajanywa Pombe.Na atakayekamatwa hawezi kusababisha Foleni maana Lazima aweke gari yake Pembeni mwa barabara.
 
Pilitoni

JF-Expert Member
Jul 11, 2011
1,137
1,500
Wana JF,

Viongozi aina ya Magufuli ndani ya CCM ndio wanaosifiwa kila kukicha ni wachapakazi.

Ni muda mrefu sasa najiuliza hivi uchapaji kazi wa Makufuli anaudhihirisha kwa mambo yapi hasa???

Tanzania kwa sasa tuna majiji matano (5),Jiji la Dar,Arusha, Mwanza,Tanga na Jiji la Mbeya.

Ni aibu tena yakupindukia kila kukicha Jiji la Dar,Mwanza na Arusha Kuna jums(foleni) barabarani.

Ulipopelekwa Wizara ya Kitoeo juhudi kubwa ilikuwa ni kukamata nyavu Haramu za kuvulia Samaki na ukawakamata watumiaji wa sumu na baruti, kidogo hapo ulijitahidi.

Lakini,Mbona hukuweza kuwadhibiti Wahindi wenye viwanda Wanaobeba Minofu ya Sato na Sangara huku raia wa kawaida hasa wapembezoni mwa Ziwa Victoria wakiambulia Masalia ya samaki yaliyoondolewa minofu, Kwa jina la kutufedhehesha yanaitwa MAPANKI.

Mbona hukuyakomesha Mapanki? Kwanini hukuweza kutoa hata Elimu kwa Wauza Dagaa ili ziingie kwenye soko la ndani na nje ya Nchi zikiwa kwenye Ubora wa hali ya juu???

Je! Utakubaliana nami kuwa wewe ni kiongozi dhaifu?

Sema Ndiyooooo!!! kama Wabunge wetu wa chama tawala wanavyoitika huku mjengoni kwa kila hoja hata kama ni yakupingwa wao jibu sahihi ni Ndioooo!

John P.Magufuli wengi wanakusifia lakini leo mimi niko kinyume na misifa hio,huenda ukanisikia na kunielewa ili ujirekebisha na kutenda kwa Busara na Bidii.

Wamekurudisha Wizara ya Ujenzi kufanya nini? Je! Ni kukariri Km za kutoka Singida Mjini Mpaka Mwankoko na kutoka Mwankoko Mpaka kata ya Mtunduru na kutoka Mtunduru Mpaka Wembere??? Hilo tu ndio Inatosha kweli!

Kukariri Ma kilometa haitoshi Tunataka hayo mnayoyaita MATOKEO MAKUBWA SASA (BRN) Viwe halisi kwa jamii. Msituimbie wimbo wa kucopy na kupesty hapa.Hatutaki!

Magufuli leo nakuuliza ni nini Kinafanya majiji yetu kuwa na Foleni kiasi hicho kila iitwapo leo?

Wakati ongezeko la watu mijini ni la kasi ya ajabu una mkakati gani wa kutuondoa kwenye ongezeko la hasara ya kuchelewa kuzalisha kwa kukaa kwenye Foleni masaa zaidi ya matatu???

Kama huwezi kuwa mbunifu wa kutuachia hata kumbukumbu ya barabara za juu (Flyover) Basi kweli wewe u dhaifu sana.

Ndani ya mwaka moja na miezi michache iliyobaki UTAFANYA NINI NA KUKIKAMILISHA KABLA CCM HAIJAONDOKA MADARAKANI???

Foleni tu isipoisha barabarani hasa kwenye majiji hayo Matatu Dar,Mwanza na Arusha huko ni kuutangazia UMMA WEWE NI DHAIFU NA UMEISHIWA MBINU JUU YA WIZARA YA UJENZI NA MIUNDO MBINU.

UNA BAHATI SANA MIMI NINGEKUWA JAKAYA MRISHO KIKWETE KWENYE ORODHA MPYA YA BARAZA LA MAWAZIRI USINGEONEKANA NG'OOOO!!!

Mh. Unayo Bahati sana tu.

bangi za kuvutia chooni ni mbaya sana, ziache utakuwa chizi muda siyo mrefu.Mpigie debe baba yako awe waziri, pimbi wewe
 
12STONE

JF-Expert Member
Mar 16, 2013
1,109
1,475
Mwana ccm anayetukana yeye ndio mnywa Gongo na Mvuta Bangi,Mie niko smart Akili,Roho Nafsi na Mwili.
 
mbinguni

JF-Expert Member
Jan 2, 2013
2,428
2,000
Kweli tupu,kwani aliuza nyumba nyingi za serikali na kusababisha tatizo kwa watumishi wa umma kukosa makazi.
 
Lyong'o

Member
Oct 1, 2013
68
0
Wana JF,

Viongozi aina ya Magufuli ndani ya CCM ndio wanaosifiwa kila kukicha ni wachapakazi.

Ni muda mrefu sasa najiuliza hivi uchapaji kazi wa Makufuli anaudhihirisha kwa mambo yapi hasa???

Tanzania kwa sasa tuna majiji matano (5),Jiji la Dar,Arusha, Mwanza,Tanga na Jiji la Mbeya.

Ni aibu tena yakupindukia kila kukicha Jiji la Dar,Mwanza na Arusha Kuna jums(foleni) barabarani.

Ulipopelekwa Wizara ya Kitoeo juhudi kubwa ilikuwa ni kukamata nyavu Haramu za kuvulia Samaki na ukawakamata watumiaji wa sumu na baruti, kidogo hapo ulijitahidi.

Lakini,Mbona hukuweza kuwadhibiti Wahindi wenye viwanda Wanaobeba Minofu ya Sato na Sangara huku raia wa kawaida hasa wapembezoni mwa Ziwa Victoria wakiambulia Masalia ya samaki yaliyoondolewa minofu, Kwa jina la kutufedhehesha yanaitwa MAPANKI.

Mbona hukuyakomesha Mapanki? Kwanini hukuweza kutoa hata Elimu kwa Wauza Dagaa ili ziingie kwenye soko la ndani na nje ya Nchi zikiwa kwenye Ubora wa hali ya juu???

Je! Utakubaliana nami kuwa wewe ni kiongozi dhaifu?

Sema Ndiyooooo!!! kama Wabunge wetu wa chama tawala wanavyoitika huku mjengoni kwa kila hoja hata kama ni yakupingwa wao jibu sahihi ni Ndioooo!

John P.Magufuli wengi wanakusifia lakini leo mimi niko kinyume na misifa hio,huenda ukanisikia na kunielewa ili ujirekebisha na kutenda kwa Busara na Bidii.

Wamekurudisha Wizara ya Ujenzi kufanya nini? Je! Ni kukariri Km za kutoka Singida Mjini Mpaka Mwankoko na kutoka Mwankoko Mpaka kata ya Mtunduru na kutoka Mtunduru Mpaka Wembere??? Hilo tu ndio Inatosha kweli!

Kukariri Ma kilometa haitoshi Tunataka hayo mnayoyaita MATOKEO MAKUBWA SASA (BRN) Viwe halisi kwa jamii. Msituimbie wimbo wa kucopy na kupesty hapa.Hatutaki!

Magufuli leo nakuuliza ni nini Kinafanya majiji yetu kuwa na Foleni kiasi hicho kila iitwapo leo?

Wakati ongezeko la watu mijini ni la kasi ya ajabu una mkakati gani wa kutuondoa kwenye ongezeko la hasara ya kuchelewa kuzalisha kwa kukaa kwenye Foleni masaa zaidi ya matatu???

Kama huwezi kuwa mbunifu wa kutuachia hata kumbukumbu ya barabara za juu (Flyover) Basi kweli wewe u dhaifu sana.

Ndani ya mwaka moja na miezi michache iliyobaki UTAFANYA NINI NA KUKIKAMILISHA KABLA CCM HAIJAONDOKA MADARAKANI???

Foleni tu isipoisha barabarani hasa kwenye majiji hayo Matatu Dar,Mwanza na Arusha huko ni kuutangazia UMMA WEWE NI DHAIFU NA UMEISHIWA MBINU JUU YA WIZARA YA UJENZI NA MIUNDO MBINU.

UNA BAHATI SANA MIMI NINGEKUWA JAKAYA MRISHO KIKWETE KWENYE ORODHA MPYA YA BARAZA LA MAWAZIRI USINGEONEKANA NG'OOOO!!!

Mh. Unayo Bahati sana tu.

Umetumwa?
 
bitimkongwe

JF-Expert Member
Oct 21, 2009
3,057
2,000
Wana JF,

Viongozi aina ya Magufuli ndani ya CCM ndio wanaosifiwa kila kukicha ni wachapakazi.

Ni muda mrefu sasa najiuliza hivi uchapaji kazi wa Makufuli anaudhihirisha kwa mambo yapi hasa???

......... Mh. Unayo Bahati sana tu.

Hebu tuonyeshe hilo ulilolifanya wewe katika nchi hii.

Wahindi wamesema "DOMO JUMBA MANENO"
 
Anderson Shimb

Senior Member
Dec 23, 2013
169
0
Magufuli ni Jembe kabisa, Achaemenid uhuni wako.

Tanzania kwa sasa tuna majiji matano (5),Jiji la Dar,Arusha, Mwanza,Tanga na Jiji la Mbeya.

Ni aibu tena yakupindukia kila kukicha Jiji la Dar,Mwanza na Arusha Kuna jums(foleni) barabarani.

Ulipopelekwa Wizara ya Kitoeo juhudi kubwa ilikuwa ni kukamata nyavu Haramu za kuvulia Samaki na ukawakamata watumiaji wa sumu na baruti, kidogo hapo ulijitahidi.

Lakini,Mbona hukuweza kuwadhibiti Wahindi wenye viwanda Wanaobeba Minofu ya Sato na Sangara huku raia wa kawaida hasa wapembezoni mwa Ziwa Victoria wakiambulia Masalia ya samaki yaliyoondolewa minofu, Kwa jina la kutufedhehesha yanaitwa MAPANKI.

Mbona hukuyakomesha Mapanki? Kwanini hukuweza kutoa hata Elimu kwa Wauza Dagaa ili ziingie kwenye soko la ndani na nje ya Nchi zikiwa kwenye Ubora wa hali ya juu???

Je! Utakubaliana nami kuwa wewe ni kiongozi dhaifu?

Sema Ndiyooooo!!! kama Wabunge wetu wa chama tawala wanavyoitika huku mjengoni kwa kila hoja hata kama ni yakupingwa wao jibu sahihi ni Ndioooo!

John P.Magufuli wengi wanakusifia lakini leo mimi niko kinyume na misifa hio,huenda ukanisikia na kunielewa ili ujirekebisha na kutenda kwa Busara na Bidii.

Wamekurudisha Wizara ya Ujenzi kufanya nini? Je! Ni kukariri Km za kutoka Singida Mjini Mpaka Mwankoko na kutoka Mwankoko Mpaka kata ya Mtunduru na kutoka Mtunduru Mpaka Wembere??? Hilo tu ndio Inatosha kweli!

Kukariri Ma kilometa haitoshi Tunataka hayo mnayoyaita MATOKEO MAKUBWA SASA (BRN) Viwe halisi kwa jamii. Msituimbie wimbo wa kucopy na kupesty hapa.Hatutaki!

Magufuli leo nakuuliza ni nini Kinafanya majiji yetu kuwa na Foleni kiasi hicho kila iitwapo leo?

Wakati ongezeko la watu mijini ni la kasi ya ajabu una mkakati gani wa kutuondoa kwenye ongezeko la hasara ya kuchelewa kuzalisha kwa kukaa kwenye Foleni masaa zaidi ya matatu???

Kama huwezi kuwa mbunifu wa kutuachia hata kumbukumbu ya barabara za juu (Flyover) Basi kweli wewe u dhaifu sana.

Ndani ya mwaka moja na miezi michache iliyobaki UTAFANYA NINI NA KUKIKAMILISHA KABLA CCM HAIJAONDOKA MADARAKANI???

Foleni tu isipoisha barabarani hasa kwenye majiji hayo Matatu Dar,Mwanza na Arusha huko ni kuutangazia UMMA WEWE NI DHAIFU NA UMEISHIWA MBINU JUU YA WIZARA YA UJENZI NA MIUNDO MBINU.

UNA BAHATI SANA MIMI NINGEKUWA JAKAYA MRISHO KIKWETE KWENYE ORODHA MPYA YA BARAZA LA MAWAZIRI USINGEONEKANA NG'OOOO!!!

Mh. Unayo Bahati sana tu.[/QUOTE]
 
celincolyn

JF-Expert Member
Dec 17, 2013
243

Nimeipenda hii sana tu na hasa hiyo ya kukariri makilometa. Wake up Magufuri ushauri mzuri huu.
 
shilalo

Member
Oct 13, 2012
14
45
Suala la kupunguza msongamano mijini linahitaji wadau wengi si magufuli na wizard yake peke tu,halmashauri za majiji pia zinahusika
 
Kimbunga

Platinum Member
Oct 4, 2007
14,360
2,000
Suala la kupunguza msongamano mijini linahitaji wadau wengi si magufuli na wizard yake peke tu,halmashauri za majiji pia zinahusika

Mkuu umenena vyema. Mimi pia nadhani suala hili ni mtambuka. Kuna wizara ya TAMISEMI ambayo inashughulikia serikali za mitaa, majiji yakiwemo, Pia tunaambiwa barabara nyingi za mijini zipo chini ya TAMISEMI hivyo suala la foleni linahusu zaidi TAMISEMI. Pia kuna suala la mipango miji ambalo hili linahusu wizara ya Ardhi; majiji yetu karibu yote yapo shaghalabaghala. Mbeya tunaambiwa 85% ya jiji halijapangwa kwa maana ya kujengwa kama skwata; Arusha ni kama 75% haijapangwa, DSM asilimia 85% haijapangwa nafuu kidogo ipo Tanga. Kwa hilo sijui kama Magufuli atafanya nini ili hali yeye kwa kiasi kikubwa tunaambiwa Wizara yake inashughulikia barabara kuu.

kaachonjo

JF-Expert Member
Oct 27, 2012
203
225
Wana JF,

Viongozi aina ya Magufuli ndani ya CCM ndio wanaosifiwa kila kukicha ni wachapakazi.

Ni muda mrefu sasa najiuliza hivi uchapaji kazi wa Makufuli anaudhihirisha kwa mambo yapi hasa???

Tanzania kwa sasa tuna majiji matano (5),Jiji la Dar,Arusha, Mwanza,Tanga na Jiji la Mbeya.

Ni aibu tena yakupindukia kila kukicha Jiji la Dar,Mwanza na Arusha Kuna jums(foleni) barabarani.

Ulipopelekwa Wizara ya Kitoeo juhudi kubwa ilikuwa ni kukamata nyavu Haramu za kuvulia Samaki na ukawakamata watumiaji wa sumu na baruti, kidogo hapo ulijitahidi.

Lakini,Mbona hukuweza kuwadhibiti Wahindi wenye viwanda Wanaobeba Minofu ya Sato na Sangara huku raia wa kawaida hasa wapembezoni mwa Ziwa Victoria wakiambulia Masalia ya samaki yaliyoondolewa minofu, Kwa jina la kutufedhehesha yanaitwa MAPANKI.

Mbona hukuyakomesha Mapanki? Kwanini hukuweza kutoa hata Elimu kwa Wauza Dagaa ili ziingie kwenye soko la ndani na nje ya Nchi zikiwa kwenye Ubora wa hali ya juu???

Je! Utakubaliana nami kuwa wewe ni kiongozi dhaifu?

Sema Ndiyooooo!!! kama Wabunge wetu wa chama tawala wanavyoitika huku mjengoni kwa kila hoja hata kama ni yakupingwa wao jibu sahihi ni Ndioooo!

John P.Magufuli wengi wanakusifia lakini leo mimi niko kinyume na misifa hio,huenda ukanisikia na kunielewa ili ujirekebisha na kutenda kwa Busara na Bidii.

Wamekurudisha Wizara ya Ujenzi kufanya nini? Je! Ni kukariri Km za kutoka Singida Mjini Mpaka Mwankoko na kutoka Mwankoko Mpaka kata ya Mtunduru na kutoka Mtunduru Mpaka Wembere??? Hilo tu ndio Inatosha kweli!

Kukariri Ma kilometa haitoshi Tunataka hayo mnayoyaita MATOKEO MAKUBWA SASA (BRN) Viwe halisi kwa jamii. Msituimbie wimbo wa kucopy na kupesty hapa.Hatutaki!

Magufuli leo nakuuliza ni nini Kinafanya majiji yetu kuwa na Foleni kiasi hicho kila iitwapo leo?

Wakati ongezeko la watu mijini ni la kasi ya ajabu una mkakati gani wa kutuondoa kwenye ongezeko la hasara ya kuchelewa kuzalisha kwa kukaa kwenye Foleni masaa zaidi ya matatu???

Kama huwezi kuwa mbunifu wa kutuachia hata kumbukumbu ya barabara za juu (Flyover) Basi kweli wewe u dhaifu sana.

Ndani ya mwaka moja na miezi michache iliyobaki UTAFANYA NINI NA KUKIKAMILISHA KABLA CCM HAIJAONDOKA MADARAKANI???

Foleni tu isipoisha barabarani hasa kwenye majiji hayo Matatu Dar,Mwanza na Arusha huko ni kuutangazia UMMA WEWE NI DHAIFU NA UMEISHIWA MBINU JUU YA WIZARA YA UJENZI NA MIUNDO MBINU.

UNA BAHATI SANA MIMI NINGEKUWA JAKAYA MRISHO KIKWETE KWENYE ORODHA MPYA YA BARAZA LA MAWAZIRI USINGEONEKANA NG'OOOO!!!

Mh. Unayo Bahati sana tu.
nafikiri unashau kuwa maendeleoyanatokana na kasi ya maendeleo ya wananchi pia.hivi wavuvi wanapata soko kwakuuza samaki zao kwenye viwanda vya samaki .hilo kwako unaona nikosa la magufuri wakati huohuo unataka awatafutie soko kisha uongeze malalmiko. weweuna uvivu wa kufikiri..
 
MKATA KIU

JF-Expert Member
Nov 22, 2010
2,350
2,000
Huyo magufuli msanii tu anawaogopa STRABAG kama ukoma..

Kama kweli anajiamini hawaguse watoto wa World Bank Strabag
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom