Junglefever
Member
- Jul 22, 2012
- 11
- 2
Haya ni mawazo yangu na fikira huru.
Mchakato wakumpata mgombea urais kupitia CCM ulivutia sana, hata watu wakaufurahia na kuushangilia sana ki ukweli hata mimi mwenyewe nilikua carried away.
Nikajifunza mambo machache kutoka hapo:
I have no doubt about Magufulis abililities .but I cant just trust the system that put him there.
Mchakato wakumpata mgombea urais kupitia CCM ulivutia sana, hata watu wakaufurahia na kuushangilia sana ki ukweli hata mimi mwenyewe nilikua carried away.
Nikajifunza mambo machache kutoka hapo:
- Mfumo (system) ina nguvu kubwa sana hata kuliko nguvu ya pesa ya mtu asiyetakwa na system
- Hauwezi kuwa juu ya mfumo uliokuweka madarakani hata kama una pesa na wafuasi wengi
- Kwa kuelewa maelezo hayo ya juu, ukiwekwa mahali na system usitegemee sana kufanya yasiyo matakwa ya system.
I have no doubt about Magufulis abililities .but I cant just trust the system that put him there.