Magufuli ndiyo habari ya mjini huko Uganda

Magufuli ndiyo habari ya mjini huko Uganda

COARTEM

JF-Expert Member
Joined
Nov 26, 2013
Posts
3,622
Reaction score
3,696
12351138_852945058157499_2001523025_n.jpg

12358249_852947798157225_909865561_n.jpg

12351059_852948971490441_1527785089_n.jpg

12380622_852949351490403_1754676402_n.jpg
 
Attachments

  • Twittera3cc936.jpg
    Twittera3cc936.jpg
    37 KB · Views: 1,398
Teh teh teh....

Kwahiyo jamaa wanata watupe mtu tunayemtaka na madini juu.!!! Ukisoma Coment za hao jamaa unawaonea huruma kweli. Na bado M7 akitoka anamuweka mwanae..!!

BACK TANGANYIKA
 
I wish wangekuwa wanawafahamu hawa mawaziri anaoenda kufanya nao kazi
 
Magufuli katawala sana magroup ya Uganda na kwingineko Africa
 
Hahahahaaa Wanataka wabadilishe msiba kwa kutupa matanga.
 
Alichokosea Magufuli ni kumuweka Makamba as a minister. Makamba ni sawa na baba yake, ana majungu sana na yuko incompetent japo kasoma kidogo.
 
Teh teh teh....

Kwahiyo jamaa wanata watupe mtu tunayemtaka na madini juu.!!! Ukisoma Coment za hao jamaa unawaonea huruma kweli. Na bado M7 akitoka anamuweka mwanae..!!

BACK TANGANYIKA
Halafu kuna mijitu humu inachezea amani na demokrasia iliyopo Tanzania
 
Magufuli katawala sana magroup ya Uganda na kwingineko Africa

hata Babu wa Loliondo alitawala sana media za Kenya lakini hatimaye. kikajulukana, nipo slow but am sure.
 
Alichokosea Magufuli ni kumuweka Makamba as a minister. Makamba ni sawa na baba yake, ana majungu sana na yuko incompetent japo kasoma kidogo.
Wewe ndio una majungu.Makamba humjui na hata hujamuona,chuki binafsi tu.una uchungu kamnyima mgombea wako nafasi ya kuiba kura ili atangazwe saa 4 asubuhi.
Makamba ni hazina huwezi kumfananisha na mnyika au yule Nasari au katambi
 
Watanzania sisi ni ndezi sana, mimi kwa hii migao ya umeme kamwe siwezi sifia mtu na nitakuwa wa mwisho kusifia, watu wanajitia upofu kwa sasa
 
Halafu kuna mijitu humu inachezea amani na demokrasia iliyopo Tanzania

Amani ndo mdudu gani we binti..?

Kuna amani nchi hii? Mbona unaanza kuchanganya maharage na viazi.. relax rudi kwenye mada banyamulenge wewe

BACK TANGANYIKA
 
Niseme ukweli KWA hili baraza alilotangaza kuna shida, kuna NAMBA zinavuja kabla hata ya mechi kuanza.

Rais asitumie kigezo cha CV ndefu za watu kuwa teua, hata yeye hana CV kubwa ya ELIMU lakini anasifika KWA uchapakazi, baraza linawatu makini wasio zidi watatu tu. Time will tell bora arudishe baraza LA Jk.

Kuna baadhi ya watu nilivyosikia wamepewa uwaziri nikatamani TV niipige Kofi ila ikawa mbali, inauma .
 
Back
Top Bottom