Kipimo kidogo.
Raisi anayejua watanzania wanataka nini.
Kiongozi anaujua msitu halafu anawaongoza wafyekaji kuchana msitu ,anajua msitu ni upi wa kufyeka.
Mtawala hajui ni msitu ni upi, yeye anasimamia kukata msitu bila kutambua anakata msitu ambao sio.
Ndio maana umesikia Magufuli amesema atatoa laptop - mtawala huyu.
Kiongozi amesema anakuja kupambana na umaskini wa watanzania , analijua hilo na hayumbi.
Muhimu sana wananchi wanamjua kiongozi na inajidhihirisha yenyewe. Angalia utashi na mapenzi ,Tanzania nzima .
Kila la kheri kiongozi wa watanzania. Mh. Lowasa.