Magufuli, nataka kuleta mtumba wa hii: | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Magufuli, nataka kuleta mtumba wa hii:

Discussion in 'Jokes/Utani + Udaku/Gossips' started by zomba, Jan 14, 2011.

 1. zomba

  zomba JF-Expert Member

  #1
  Jan 14, 2011
  Joined: Nov 27, 2007
  Messages: 17,081
  Likes Received: 49
  Trophy Points: 0
  Magufuli, kama kicha cha habari kinavyosema, nimependa hii kitu na nna-uhakika Japan mtumba wa hii kitu hautofika hata Dollar elfu mbili, sasa baba yale matuta uliosema yaondolewe, naona jamaa wanafanya uzembe kuyaondoa, wananichelewesha:

  [​IMG]
  Honda Forza MF08 [via]​
  [​IMG]
  Suzuki Sky Wave 43 [via]​
  [​IMG]
  Honda Fusion [via]​
  [​IMG]
  Yamaha Majesty [via]​
  [​IMG]

  Maana kwa sasa hamna pa kuiendesha!
   
 2. Sikonge

  Sikonge JF-Expert Member

  #2
  Jan 14, 2011
  Joined: Jan 19, 2008
  Messages: 11,503
  Likes Received: 539
  Trophy Points: 280
  Huwezi kuleta na milele hutaleta maana hela za kujengea barabara zimeshaliwa kwenye uchaguzi.

  Waliokula ndiyo hao CCM unawatetea kila siku iendayo kwa Mungu.

  Ukicheka na nyani, HUWEZI ENDESHA HIZO MASHINE TANZANIA.
   
 3. The Hunter

  The Hunter JF-Expert Member

  #3
  Jan 14, 2011
  Joined: Dec 25, 2010
  Messages: 1,049
  Likes Received: 27
  Trophy Points: 145
  Hii kitu huwezi ktembelea bongo hata kwa dawa.
   
 4. b

  bitimkongwe JF-Expert Member

  #4
  Jan 14, 2011
  Joined: Oct 21, 2009
  Messages: 3,034
  Likes Received: 211
  Trophy Points: 160
  Unaweza sana, shida itakuwa spares tu.

  Na hata spares sio shida kwani bank ziko na mtu anaweza kufanya transfer ili anunue hizo spares. Mbona kuna aina za magari ambazo spares zake hazipatikani Tz?
   
Loading...