Magufuli na maamuzi yake

LA MSINGI HAPA TUANGALIE MAGUFULI KAFANYA NN NA KUMPONGEZA ILI AOENGEZE BIDII SASA NYIE KAZI KULAUM ,MTU KABLA HAJAFANYA JAMBO TAYARI MSHAANZA MDOMO KWELI HATA KAMA NI WEW ,UKIFANYIWA IVO UTAJISKIAJE, SASA TUWE NA UTAIFA KWANZA TUUNGANE TUACHE PROPAGANDA TUSHIRIKIANE TUJENGE NCHI ,TUACHE CHUKI BINAFSI TUMUUNGE MKONO DR JOHN

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Pasipo shaka yeyote Wewe kama picha ilivyo wewe ni Magufuli umekuja hapa kujitetea!
 
SISI WOTE NI WATANZANIA TUSIJITENGE KWAMBA MIM NI WA UPANDE FULANI ,JAPO HAUTAKI KUKUBALI NAJUA UNAJUA YEYE NDO ANATUUNGANISHA SISI WOTE , UKITAKA KUMUUA NYANI USIMUUANGALIE USON ,WEWE UNADHANI WAIZ NDANI YA ccm ISINGEKUA JAMAA KUA NA UKALI ,SI WANGEENDELEA KUIBIA NCHI YETU ,SASA DR JOHN KAVAA SURA YA KAZI ATAKI URAFIKI NA NA WANAFIK NDANI YA CHAMA NJE YA CHAMA NA HATA SEREKALINI, ILI WATU WOTE TUNUFAIKE NA RASIMALI ZETU ,ALAFU KILA MAENDELEO YANA ±impact yake KWAIYO TUWE WAPOLE KWA MUDA HUU MAMBO TATAENDELEA KUWA SAWA TUWE NA UVUMILIV WANDUGU

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Maamuzi yake karibu yote toka akiwa enzi akiwa za uwaziri mpaka Leo mengi hayana tija.Zaidi yanaliingizia taifa hasara.Hata hao wanaobomolewa ubungo sasa hivi siku za usoni wanaweza lipwa fidia!
 
Kumbe hizi lawama kuwa ni Mbinafsi na hataki ushauri hazijaanza leo?

IMENISHANGAZA
Kumbe na hizi habari za uchapa kazi hazijaanza leo

posti fromu Nokia kitochi yuzingi jamii forum
 

Heko kwako sababu msimamo wako na imani kuhusu Magufuli kumbe ni wa muda mrefu.
 
NI YEYE ALIKUWA NA DHAMANA HIYO KWA WAKATI HUO
 
Kilucho dhahiri ni kwamba anataka positive impact kwa njia yoyote. Mfano kuwepo kwa Barbara bila kujali nani anaumia.
Kuwepo kwa uwajibikaji bila kujali unashiba au una njaa..
Kodi inapatikana upate faida au hasara.
Siasa inakoma iwe ni demokrasia au la.
Kinachotakiwa gari lake linaenda na halina breki kumkwepa mpita njia.
Yote hayo utaona kuwa yeye anataka kufika hata psncha ikitokea rim zitaburuzwa.
Kwa wanataka kufika kwa jinsi hiii wataona sawa.
Kinachotokea ni watu wanasema tunataka tifike lakini si kwa utaratibu huu.
Ndiposa mwenye nguvu anasema shika hao. Na wansomuunga mkono wanasema sawa mzee hao ni WANAFIKI
Huo ndo mgogoro uliopo.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…