Magufuli na maamuzi yake

Magufuri namkubari kwa vitendo na anakijuwa anachokifanya
 
kaka nimekusoma.....kazi nzuri sana
 
\

watanzania tunamatatizo tukipata mtu ambaye anafata sheria ,anataka sheria ifatwe kwa serikali na wananchi sisi tunapiga kelele ,tumeongozwa nawtu ambao ni wapole tunapiga kelele mungu atupe nini?
 


upo Mangi?
 
watu wanakurupuka katika suala la meli,kwa mujibu wa katiba yetu hakuna mahali ambapo waziri anawajibika kushitaki wanye wajibu wa kushita ni ofisi ya DPP,na wizara ya sheria,
na nakumbuka alipoulizwa na waandishi wa habali juu ya suala hili aliwapa majibu mepesi kuwa wakasome sheria il wajue maana yeye hakuna anapotakiwa kushitaki na wenye wajibu huo wapo,
so atawapa majibu wenye shauku ya kujua hayo.
 

mkuu watu wanaendekeza siasa badara ya mambo ya kitaifa kitu ambacho kinasumbua taifa letu, watu hawaelewi nini maana ya taifa na saisa ,wamejazwa siasa kwanza taifa baadae,tubadilike.
 
Kwa hapa tulipofika hata atokee malaika wa namna gani so long as yupo ndani ya CCM amelelewa na CCM amefikishwa hapo alipo na CCM na viongozi wa CCM ni kama miungu yake nothing will change....!
 
Kwa hapa tulipofika hata atokee malaika wa namna gani so long as yupo ndani ya CCM amelelewa na CCM amefikishwa hapo alipo na CCM na viongozi wa CCM ni kama miungu yake nothing will change....!

hapo umeongea. with ccm hakuna kitu. watz hatudanganyiki. huu ni mda wa mabadiliko na mabadiliko ni lazima
 
Magufuli ni jembe kila mtu anajua.Hata kama ana mapungufu yake...basi ni yakawaida tu ya kibinadamu.Tausi mzuri haitaji mapambo kazi yake ni rekodi tosha ya kumjenga.UKAWA wajipange vizuri vinginevyo naona giza upande wao hasa katika nafasi ya urais.
 
Si vyema sana kuanza kumshutumu Rais wetu mtarajiwa kwa makosa yaliyotokea kiutendaji. Tumlaumu kama alifanya makosa kwa uzembe. Ni zaidi ya miaka mitano sasa tangu Magufuli akamate meli ya uvuvi, wataalamu wetu wa mambo ya sheria wako wapi, kwa nini hawampi ushauri ambao utaiepushia nchi kuingia katika hasara, kwani kazi yao ni nini. Hivyo hivyo na fidia kule Mwanza, wana sheria wa serikali walikuwa wapi, kwa nini hawakumpa ushauri. Kuna wakati tuliambiwa serikali inapoteza sh bilioni 40 kila mwezi kutokana na mishahara hewa. Wataalamu wa sheria wapo, wamechukua hatua gani. Sh bilioni 40 kwa mwezi ni sawa sawa na bilioni 480 kwa mwaka, wanangoja hadi waziri mhusika atakapo tangaza nia ya kugombea Urais ndipo waibuke na kuaanza kulaumu. Mimi nadhani tumpe muda Magufuli atekeleze yale anayoyaamini kwa manufaa ya nchi yetu. Tumpe miaka mitano, akishindwa tumuondoe kwa kura.
 

Kawa mgombea.may be anaweza kuwa President
 
upo Mangi?

Mkuu nipo!

hiyo meza haujaivunja tu?

naona magufuli anaenda kutupeleka mchaka mchaka! kama na kama tu wenye fedha na mafisadi wa nchi hii hawatamweka kwapani, tusisahau CCM ni ile ile
 
\
Niulize tu hivi SHIDA YETU HASA NI NINI?... ni mtu au ni system iliyojengwa na CCM?...kama ni mtu basi we may be having a point in appreciating bwana Magufuli, otherwise HAKUNA JIPYA NINALOTEGEMEA KUTOKA KWA YEYOTE FROM CCM kwa style walivoonesha pale dodoma Hawa jamaa wanajuana na ni wamoja watalindana kufa na kupona
 
President he is, unaonaje maamuzi yake?
 
Kumbe hizi lawama kuwa ni Mbinafsi na hataki ushauri hazijaanza leo?

IMENISHANGAZA
 
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…