Magufuli na ikulu

Magufuli na ikulu

magufuliforpresident

Senior Member
Joined
Aug 18, 2015
Posts
159
Reaction score
59
Ahadi zake ni mageuzi makubwa ndani ya nchi yetu, siyo tu wakulima kuikopesha serikali badala ya serikali kuwakopesha wakulima, bali pia wagonjwa watakuja kutibiwa Tanzania badala ya wagonjwa wa Tanzania kupelekwa nje
 
Hiko alichokiahid kwann hakufanyika utawala wa kikwete? Mkapa, na mwinyi? Huo ni uongo mchana kweupe UKAWA ndio ukombozi wa Wtz, ccm tumewazoea zaid ya miaka 50 sera hizo hizo na hazijawahi kutekelezeka.
 
Hakika yote aliyoyasema na kurudia kuwa atayasimamia kwa Magufuli ni Hakika na ukweli kwani Watanzania wanahitaji hayo na sio porojo leo wasema niki na kuaminisha Umma kesho wafanya tofauti yake tumeyaona
 
ukawa vita ishaanza mko wp?anzeni kumjibu mkapa,makongoro anaenyoshea afya za watu kidole mwachieni Mungu kwani magufuli kasema wamshirikishe Mungu kila kitu.
 
Ukichunguza utagundua makuduli anaobyesha mapungufu makubwa ya serikali ya ccm na anatoa point kwa wapinzani
 
Ukifuatilia utakuta na Kikwete aliahidi hayo hayo lakini hajayatekeleza Leo hii kwa Magufuli inaonekana mpya. Tunachotamka ni kuwa tunahitaji mabadiliko nje ya CCM
 
Ahadi zinatosha waeleze wamefanya nini, 2010 kikwete alikuja na ahadi zaenye thamani ya trilioni 1000, naona mapombe naye kaanza za jk
 
Kwa Ishu Ya Wakulima Kuikopesha Serikali Inatia Huzuni Sana. Mungu Ibariki Tanzania Na Ukawa.
 
Hivi kuna wakati Jk alikuwa rafiki wa magufuli..?!
 
Hiko alichokiahid kwann hakufanyika utawala wa kikwete? Mkapa, na mwinyi? Huo ni uongo mchana kweupe UKAWA ndio ukombozi wa Wtz, ccm tumewazoea zaid ya miaka 50 sera hizo hizo na hazijawahi kutekelezeka.

Wewe ndio utakuwa kundi la aliowasema Mkapa, yaan mwizi na fisadi Lowassa ndio akukomboe?ndoto za mchana.Lowassa anaenda akiwa na maslahi yake na mafisadi wenzake ambao wameishatumia pesa nyingi sana kuutafuta urais huo,akifika huko ni kujilipa tu kama alivyojilipa Richmond.
 
Naona inabidi ajilazimishe.....yani wako tofauti sana tu
 
Wewe ndio utakuwa kundi la aliowasema Mkapa, yaan mwizi na fisadi Lowassa ndio akukomboe?ndoto za mchana.Lowassa anaenda akiwa na maslahi yake na mafisadi wenzake ambao wameishatumia pesa nyingi sana kuutafuta urais huo,akifika huko ni kujilipa tu kama alivyojilipa Richmond.
Ukimpeleka malaika kwenye kundi la mashetani naye atakua shetani tu(Mh Mbowe).Magufuli hawezi kufanya kitu ndani ya CCM.
 
ukawa vita ishaanza mko wp?anzeni kumjibu mkapa,makongoro anaenyoshea afya za watu kidole mwachieni Mungu kwani magufuli kasema wamshirikishe Mungu kila kitu.

Huo muda wa kujibizana haupo,ss ni muda wa kushughulika na matatizo ya watanzania.
 
Back
Top Bottom