Tetty JF-Expert Member Joined Jan 6, 2012 Posts 26,355 Reaction score 21,418 Aug 20, 2015 #41 Mr.Junior said: Acha masihara wewe unataka tuuze nchi. Ukawa hawawezi shika hii nchi. Click to expand... Tuliyowaamini kwa miaka 54 mmeuza nusu ya nchi yetu,tunahitaji kuwabadilisha ili kuirudisha eneo mliloliuza.
Mr.Junior said: Acha masihara wewe unataka tuuze nchi. Ukawa hawawezi shika hii nchi. Click to expand... Tuliyowaamini kwa miaka 54 mmeuza nusu ya nchi yetu,tunahitaji kuwabadilisha ili kuirudisha eneo mliloliuza.
Tetty JF-Expert Member Joined Jan 6, 2012 Posts 26,355 Reaction score 21,418 Aug 20, 2015 #42 chegreyson said: Unatakiwa uelewe au uliza ujibiwe. Amesema mgombea mwenza wa kwanza.Hao uliowataja wamechaguliwa,hawakuwa wagombea. Click to expand... Mgombea mwenza wa kwanza alikuwa wa Dr.Slaa mwaka 2010.
chegreyson said: Unatakiwa uelewe au uliza ujibiwe. Amesema mgombea mwenza wa kwanza.Hao uliowataja wamechaguliwa,hawakuwa wagombea. Click to expand... Mgombea mwenza wa kwanza alikuwa wa Dr.Slaa mwaka 2010.