Magufuli na data za uongo


Acha masihara wewe unataka tuuze nchi.

Ukawa hawawezi shika hii nchi.
 
Hata wabunge pia walimshtukia kwa kuleta bungeni taarifa za uongo
 

Unatakiwa uelewe au uliza ujibiwe.
Amesema mgombea mwenza wa kwanza.Hao uliowataja wamechaguliwa,hawakuwa wagombea.
 
wenge tu kuna marais wa kike duniani na mawaxiri mkuu toka miaka mingi!!
Indira Gandhi na Srimavo Bandaranaike walipokuwa mawaxir wakuu wa india na sri lanka magufuli alikuwa bado mwanafunzi
pia kuna marais wa kike wengi tu
evita peron
michele bachelete
dilma rouseff
christina fernandez de kirchener
Angela merkel
megawati sukarno
benazir bhuto
helen johnson sirlef
chandrika kumaratunga
etc
kilaza magufuli asitudanganye
 
Tatizo 'knowledge' yake ndogo, atawadanganya hao hao wasiyojitambua..
 
Alisema kwa Mara ya Kwanza Tanzania na dunia itajua. Tanzania haijawahi kuwa na Makamu mwanamke hivyo itakuwa ni historia itakayojulikana Tanzania na ulimwenguni.
Kama hujui matumizi ya lugha uliza uelekezwe.

Kwani watz hatujui kama nchi zingine waliwahi kuwepo?

Au kuna nn cha ajabu kuwa na makamu mwanmke?
 

Yaan we ndio chiziiiiii
 
Huyo wa Uganda mbona nawe umechapia? Mimi. Nakumbuka yule mama alikuwa akiitww Dr. Specioza Naigaga Wandira Kazibwe sasa huyo Sepecioza Nainda Wangila ni yupi?
 
Acha masihara wewe unataka tuuze nchi.

Ukawa hawawezi shika hii nchi.

Kama CCM mnauza rasilimali za nchi kwa manufaa yenu wenyewe bila kuwajali watanzania masikini,basi hata nchi mnaweza kuiuza.
 
Duniani anamaanisha Tanzania.!!!!!!!!!hakumbuki kuna nchi zaidi ya Tanzania.anawazia kiti cha ikulu.asamehewe kidogo.apigwe faini ya kunyimwa kura chache zilizoelekezwa kwake.
 
Unatakiwa uelewe au uliza ujibiwe.
Amesema mgombea mwenza wa kwanza.Hao uliowataja wamechaguliwa,hawakuwa wagombea.

Mgombea mwenza ni sawa na kusema Makamu wa rais.Pole.
 
Mkuu umewapiga pabaya!

Hajampiga yoyote pabaya,yeye mwenyewe hajaelewa anachokiongelea.Nchi nyingine Makamu wa Rais anachaguliwa,nyingine anateuliuwa kutokana na wabunge,wa kwetu anakuwa mwenza kwa mgombea wa rais,lakini kifupi ndiye MAKAMU wa Rais.

Mwaka 2010,Dr.Slaa Mgombea mwenza wake alikuwa Mwanamke.So bado si kweli alichosema Magufuli.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…