Alichonishangaza magufuli na nimeanza kuamini hata data alizokuwa anatupa ni za uwongo anasema kwa mara ya kwanza tanzania na duaniani itaweka history ya kuwa na makamu wa rais wa kwanza mwanamke
Ni uongo uliokithiri
Collection
Mwaka 1994 mpaka 2003
Uganda walikwa na makamunwa rais madam specioza nainda Wangila
Hadi sasa zambia wana makamu wa rais wa kike madam inonge Wina
So ukiwa muongo angalua pa kudanganya
Tukutaneoctober2015
Makamu wa rais mwanamke atatusaidia nini? Sidi tunataka mkate wetu wa kila siku sio mambo ya gender? Dunia ikishajua tuna makqm mwanamke ndio tutapata maisha bora kwa kila mtanzania?Alisema kwa Mara ya Kwanza Tanzania na dunia itajua. Tanzania haijawahi kuwa na Makamu mwanamke hivyo itakuwa ni historia itakayojulikana Tanzania na ulimwenguni.
Kama hujui matumizi ya lugha uliza uelekezwe.