Sigara Kali
JF-Expert Member
- May 28, 2017
- 3,711
- 8,765
Hama nchi, ni haki yako mkuu. Ndio tatizo la kuishi ktk mitandao ya kijamii. Mtu ukiwa nje alafu usome ktk mitandao ya kijamii unaweza sema kuna state of anarchy, kumbe kiuhalisia mambobyako salama zaidi ya jana.Magufuli na CCM yako ondokeni Nchi imewashinda mnatuharibia Mama yetu Tanzania
Magufuli uongozi umekushinda tangu uingie madarakani hakuna ulichofanikisha zaidi ni haya:-
[emoji117] kuleta nidhamu ya woga kwa watumishi wa umma
[emoji117] kuporomosha uchumi wa Nchi
[emoji117] Watu kupigwa risasi,kutekwa na kuuliwa
[emoji117] kuzuia ajira
[emoji117] Kuminya Uhuru wa kutoa maoni na kunyanyasa vyama vya upinzani
[emoji117] Kununua viongozi wa upinzani
[emoji117] kutuma police wauwe watu
[emoji117] Kununua ndege mbovu na nyingine kukamatwa
[emoji117] kupandisha makato ya bodi ya
Mikopo kwa wanafunzi wa elimu ya juu kutoka 8% mpaka 15%
[emoji117] Kuzuia makinikia then wazungu kutupiga changa la macho kwenye kishika uchumba cha USD 300
[emoji117] kusababisha umaskini kwa Nchi zaidi ya miaka 50 chini ya CCM yako
Magufuli ondoka sio lazima uendelee kuwa rais usituharibie Nchi yetu tumezoea ustaarabu.
Kuwa na subira mkuu, inshallah, 2025 atakuachia nchi, sisi watz 2020 tunamrudisha tena magogoni kwa kimbunga.Huyu raisi simkubali hata kidogo, amalize tu mda wake atoke, anachosha sana
Ahame nchi kwani hii nchi ni ya babu yako nyie CCM vipi.Hama nchi, ni haki yako mkuu. Ndio tatizo la kuishi ktk mitandao ya kijamii. Mtu ukiwa nje alafu usome ktk mitandao ya kijamii unaweza sema kuna state of anarchy, kumbe kiuhalisia mambobyako salama zaidi ya jana.
Inajulikana mmepigwa pini kila mahali sasa mnahaha.
Nimempa option kama hamtaki JPM anaweza mpisha kwa muda kisha 2025 akarudi maana JPM hatoki hapa kupisha mtu.Ahame nchi kwani hii nchi ni ya babu yako nyie CCM vipi.
Una ubia na Mungu hadi useme hawezi kutoka hadi 2025 watch out Mungu hachezewi.Nimempa option kama hamtaki JPM anaweza mpisha kwa muda kisha 2025 akarudi maana JPM hatoki hapa kupisha mtu.
Ni chaguo lake.