Magufuli kwa hili umekosea hebu fikiria upya

Mgema akisifiwa tembo hulitia maji. Hii ndiyo inatokea kwa Magufuli, inaonekana sasa amelewa sifa. Uongozi unatakiwa hekima na siyo nguvu na sifa.

Ni muhimu kumwelewa Dr Pombe, yeye anatafuta mfupa utakaompa umaarufu!
Mahesabu yake ni upande wa pili mwa barabara ya Morogoro, mgomvi wake wa siku nyingi.
Walivutana na huyu muheshimiwa wakati wa kupitisha boti ziendazo kasi na akazidiwa kete.
Bifu linarudi upya!!
 
Back
Top Bottom