Magufuli karibu chuo cha Mandela arusha,pitia Mandela road.

DALLAI LAMA

JF-Expert Member
Jan 31, 2012
8,652
2,628
Barabara ya kuelekea ktk chuo hiki toka mjini arusha ipo taabani.

Zamani iliitwa Old Moshi Road,siku hizi inaitwa Mandela Road isiyo na hadhi kwanini changarawe,imeharibika licha ya kudaiwa kutengewa fungu la kuweka lami mpaka sasa Tanroad hawana majibu.

Rais angefanya ziara ya kushtukiza ili auone ukweli wa tasisi kubwa kama chuo cha Mandela IST kinavyodhalilishwa kwa kutofikika kirahisi.
 
Ngoja nimpigia mkuu wene mzee bilali
 
Back
Top Bottom