Nibozali
JF-Expert Member
- Oct 15, 2016
- 572
- 1,055
Kuondolewa kwa Mwakyembe katika nafasi ya waziri wa sheria na katiba kunamuondolea nguvu ya kutimiza azma yake ya kuifuta TLS.
Angeweza kuifuta kwa kuzingatia pia atafukuzwa uanachama hivi karibuni. Sasa je kwa kubadilishiwa nafasi ataweza kuifuta tena ?
Angeweza kuifuta kwa kuzingatia pia atafukuzwa uanachama hivi karibuni. Sasa je kwa kubadilishiwa nafasi ataweza kuifuta tena ?