Magufuli, kaa na wanauchumi ujue matatizo ya nchi. Achana na wanasiasa uchwara, washangiliaji tu

iparamasa

JF-Expert Member
Nov 14, 2013
13,437
14,924
Hao wanasiasa watakupotezea muda,sisi tunaokushangilia kwenye utumbuaji majipu ujue tuna njaa mzee, na kawaida ya Mwenye njaa akichoka anaanza kuzomea,muulize braza kikwete,tulimshangilia sana,tulipoona hagusi shida zetu kiuchumi tukammwaga
 
Bado hajagusa mambo yanayowezasababisha fedha kuingia moja kwa moja kwenye mfuko wa mlalahoi.
 
Hao wanasiasa watakupotezea muda,sisi tunaokushangilia kwenye utumbuaji majipu ujue tuna njaa mzee, na kawaida ya Mwenye njaa akichoka anaanza kuzomea,muulize braza kikwete,tulimshangilia sana,tulipoona hagusi shida zetu kiuchumi tukammwaga

Tatizo gani la nchi? halijui? ushaona kuna wakwepa kodi siku hizi? Budget hiyo inakuja kachomoa recurrent zote kapeleka kwa maendeleo? wataka nini?
 
Dr Magufuli, hawa wachumi ni majipu. Wanakula na wahasibu illi plan bajeti kubwa kwa vitu visivyo vya maana kama warsha, safari zisizo na tija. Wachunguzeni hawa wachumi walivyojilimbikizia mali. Ni majipu yatumbuliwe yasije mpotosha Rais.
 
Bajeti inayokuja umeiona? na kuisoma?
 
Bajeti inayokuja umeiona? na kuisoma?

Wawajibishwe kwa udanganyifu na kuisababishia serikali. Kama wameweza sasa kwa nini walishindwa kuplan vizuri bajeti zilizipita? Ni wazi walifanya kusudi... watumbuliwe.
 
Mzee anaenda vizuri ila awe makini juu ya haki za Raia na Uhuru wetu kama wananchi ni lazima aviheshimu hatutaki kupokonywa hali za kuikosoa, na kuisema serikali ikikosea, na pia tunataka transparency katika utendaji wa dola, hivyo basi kutuondolea kuona mijadala ya bunge LIVE ni kuturudisha nyuma miaka 10, hili siyo jambo jema,

the Algorithm for prosperous Tanzania.
While (1){
while( majipu exist and not majungu){
if (so serious ){
take sometime to know better

Tumbua effectively
}
else{tumbua papo kwa papo
}
Foreach (sector){

Work on accountability
Work on transparency
Follow the laws
Empower the mass
Put the national interests first
Have a clear vision and mission
Lead more and rule a little
}

}

}
 
Hayomakaratasi ya bajeti mimi mtu wa chini yataniletea ugali?ntaula ugali kwa karatasi za dodoma?
 
Fanya kazi kwa bidii utapata mshiko acha kulalama? wa kona kona wote wanalalama kwa utwala huu?

Sawa kabisa watanzania baadhi tuna hulka ya uvivu na kupenda vitu vya mkato.
Ili pesa ifike mikononi kwa wananchi wachini ni sharti serikali ijikite kwenye kuwapa kipaombele cha mitaji watanzania ndipo mwekezaji afuatie baadae sana.

Kwamfano kuanzishwa kwa viwanda vya kati vya kusindika bidhaa zitokanazo kilimo,mifugo na Uvivu. Ninayo imani Tanzania tuna kina Mengi,Saidi Salim Bakresa tukiweza kuwapata kama hawa 20 watanzania halisi sio wenye asili ya Tanzania tutaona mabadiliko haraka sana.

Lakini tukiwaendekeza wawekezaji wasio na tija tutaendelea kuumia kwani tumeshaona madhara ya uwekezaji huu uchumi umeendelea kudidimia na kile wanachokivuna hapa wanakwenda kunehemesha nchi zao.

Tuthamini uzalendo Kwanza maendeleo ni sisi wenyewe sio wawekezaji.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom