Magufuli!!! Jengo la tanesco ubungo ni kisiki na udhaifu mwingine kwake | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Magufuli!!! Jengo la tanesco ubungo ni kisiki na udhaifu mwingine kwake

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Mwananchi wa Kawaida, Jul 6, 2012.

 1. Mwananchi wa Kawaida

  Mwananchi wa Kawaida Member

  #1
  Jul 6, 2012
  Joined: Feb 9, 2012
  Messages: 65
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 13
  Katika kuonyesha kwamba jengo la Tanesco Ubungo ni kisiki kwake,Bwana Magufuli leo bungeni ameendelea kuthibitisha na kulalamika kwamba linastahili kubomolewa na inaonekana hana uwezo wa kuhakikisha linabomolewa zaidi anaishia kulalamika tu,eti kuna watu wanazuia lisibomolewe,ni nani hao kama si wao wenyewe?
   
 2. Graph Theory

  Graph Theory JF-Expert Member

  #2
  Jul 6, 2012
  Joined: Jul 2, 2011
  Messages: 3,505
  Likes Received: 534
  Trophy Points: 280
  Kumbe jamaa ana ubavu wa kuamlisha tu watu kupiga mbizi kama hawataki kulipia tsh 200. Au naye ni dhaifu?
  WASIOSOMA NI CHAKULA CHA WASOMI.
   
 3. a

  afwe JF-Expert Member

  #3
  Jul 6, 2012
  Joined: Oct 29, 2010
  Messages: 4,077
  Likes Received: 108
  Trophy Points: 160
  Ninamsikiliza Magufuli, ingawa yeye ni mmoja wa magamba, nadhhani ulichokiandika ni maoni yako. Nimemsikia, kaeleza vizuri sana kama waziri na msimamizi wa sheria husika.
   
Loading...