Magufuli is Doing Good For This Nation, Tumuassess kwa Positive Attitude, Kwa Mazuri Tumpongeze, Tumuunge Mkono Kumsupport, lakini kwa Mabaya Tumkosoe

Hakuna jipya, wakati JK anatoa hotuba ya kwanza kabisa bungeni alitoa misamaha kama huo kwa wahalifu wa EPA na Meremeta sijui ulikua na umri gani. :)

Regarding hawa akina Ruge, Sanare et al.. ni lazima watakua wameshakubali na pesa imesharudishwa fuko kuuu, otherwise wataozea Keko, am afraid!
Hata hili la leo la wahujumu kutubu na kusamehewa, nalo ni zuri la kustahili pongezi.
P
 
Wadau wanasema umekuwa "laini" kwa ngosha mwenzako, ukabila unaota mizizi! Badala ya hoja linaangaliwa kabila
Mkuu Mtazamo, it's very unfortunately mimi ni Msukuma born town, sina ukabila hata chembe. Ningekuwa mkabila nisinge pandisha mabandiko haya.
Wito kwa Bunge letu tukufu: Mkithibisha hii Nepotism ya ajabu na zile Boeing ni TT, then hatufai!. - JamiiForums

Kauli ya Kakobe "Magufuli atubu", yaibua mambo! Je asili halisi ya Rais Magufuli ni Msukuma, Mhaya au Muha wa Kakonko? - JamiiForums

Hivyo Pasco wa JF ni yule yule, juzi, jana na leo, be it ni Pascal Mayalla or Paskali, he is always the same.
P
 
vitu viwili vonamsumbua sana pascal
1. ukabila
2. uoga
haiwezekani yeye ni mwanahabari akalie kumsifia tuuuu mtu ambaye ameviminya vyombo vya habari
kumbuka pascal uliwahi kuniambia kuwa tasnia ya habari iko katika kipindi kigumu sana kwa awamu hii tangia nchi ipate uhuru
sasa why unausifia utawala unao wapora kalamu.
tuliwahi kuambiea kuwa vyombo vya habari ni muhimili wa nne wa Dola
kwa sasa hakuna habari Tanzania
wala gazeti zenu hatununui
tunanunua sports starehe kuangali ratiba ya ligi kuu ya England
 
Paskli, unayoyasema yaweza kuwa kweli japo bado mapema sana na muda unakata taratibu. Zaidi naipongeza Serikali kwenye REA japo nako bado vijiji na vitongoji vingi havijafikiwa umeme kama walivyodhamiria, aidha niliwahi kushauri kwamba endapo Mh Rais hata angeacha amemsambazia kila raia huduma ya Umeme kupita mradi wa REA basi ingetosha sana na anaweza kuwa Rais wa Mioyo ya Kila Raia aliyepo na atakayezaliwa Tanzania. Huduma nyingi zinazidi kuboreshwa huko mijini na kwenye Strategic Zones ambazo ni chache sana ukilinganisha na maeneo ya Watanzania walio wengi wako huko vijijini ndani ndani. Aidha kwa spiidi ya JPM yaweza kuyafikia mazingira ambayo yana miongo kadhaa hayajawahi kuona Impact za uwepo wa Serikali za hawamu mbalimbali. Hivyo ndugu Paskali ningekushauri sisi Watanzania Wazalendo tuzidi kuishauri serikali nakuitia moyo na kuiombea sala njema ili waweze kutimiza yale waliyoyalenga kuyafanya kwa ajili ya Watanzania, ikifika muda wake wa ukomo basi Tufanye kazi ya kuihukumu kuwa imefanya vyema kuliko zote au la! Pia nakushauri na Watanzania wengine wasiiishie mijini tu bali zama huko vijijini na vitongojini kabisa muijue nchi Vizuri.
Mkuu Tinkanyarwele, karibu mitaa hii, kwa kuanzia thanks for very objective contributions. Nakubalia na wewe rais Magufuli anafanya makubwa kwa nchi hii na pia nakiri speed ni ndogo na mengi makubwa hayana direct impact kwa wananchi walio wengi waishio vijijini ambao ni masikini wa kutupwa wanaishi katika lindi la umasikini uliotopea kwa kipato cha chini ya dola moja kwa siku ndio maana nilishauri mahali, apewe muda wa kutosha ili awafikie hadi hawa watu wa chini. Ikifika 2025 nchi nzima itakuwa electrified, ASDP II itakuwa imetimiza malengo, SGR itakuwa imesambaa nchi nzima, Tanzania itakuwa ni nchi ya Viwanda na nchi ya kipato cha kati. Ikitokea ikafika 2025 haya hayajatimia, aongezwe muda, apewe muda wa kutosha kutimiza.

Nakubaliana na hoja yako hii sisi Watanzania Wazalendo wa kweli wa nchi hii, tuzidi kuishauri serikali nakuitia moyo na kuiombea sala njema ili waweze kutimiza yale waliyoyalenga kuyafanya kwa ajili ya Watanzania.
Mungu Mbariki Rais Magufuli
Mungu Ibariki Tanzania.
Paskali
 
Ww Pascal ww sio mzima!
Ww ni chizi kabisa aisee!
Yaani unabariki kabisa Magu avunje katiba muda wake ukiisha?
Kwamba sababu ya SGR, REA na barabara avunje katiba ya nchi? Kwamba yeye ni malaika au Mungu kwamba akiondoka yeye hakuna wa kuendeleza haya?
Mkuu Tinkanyarwele, karibu mitaa hii, kwa kuanzia thanks for very objective contributions. Nakubalia na wewe rais Magufuli anafanya makubwa kwa nchi hii na pia nakiri speed ni ndogo na mengi makubwa hayana direct impact kwa wananchi walio wengi waishio vijijini ambao ni masikini wa kutupwa wanaishi katika lindi la umasikini uliotopea kwa kipato cha chini ya dola moja kwa siku ndio maana nilishauri mahali, apewe muda wa kutosha ili awafikie hadi hawa watu wa chini. Ikifika 2025 nchi nzima itakuwa electrified, ASDP II itakuwa imetimiza malengo, SGR itakuwa imesambaa nchi nzima, Tanzania itakuwa ni nchi ya Viwanda na nchi ya kipato cha kati. Ikitokea ikafika 2025 haya hayajatimia, aongezwe muda, apewe muda wa kutosha kutimiza.

Nakubaliana na hoja yako hii sisi Watanzania Wazalendo wa kweli wa nchi hii, tuzidi kuishauri serikali nakuitia moyo na kuiombea sala njema ili waweze kutimiza yale waliyoyalenga kuyafanya kwa ajili ya Watanzania.
Mungu Mbariki Rais Magufuli
Mungu Ibariki Tanzania.
Paskali
 
Swali lako siyo sahihi kutaka kujua mchangiaji Paskali yuko chama gani kwa kuwa kuna siku anaiponda CCM na siku nyingine anaiponda CHADEMA. Hivyo ndivyo mchangiaji mzuri anapaswa kuwa: unatafakari jambo na kutoa maoni yako kufuatana na vipi unaona mambo yanapaswa kwenda. Siyo kwa kuwa uko CHADEMA basi kila kitu kinachofanywa na CHADEMA ni kizuri na kila kitu kinachofanywa na CCM ni kibaya. Swali lako limedhihirisha kabisa kwa nini Rais Magufuli analaumiwa kila kukicha. Najiuliza hivi ni kweli hakuna kitu kizuri alichofanya mtu huyu tangu aingie madarakani miaka minne iliyopita? Swali lako limenipa jibu kwamba analaumiwa kwa kuwa tu yuko chama tofauti na mchangiaji; siyo kwa sababu amefanya kitu kibaya. Tubadilike Watanzania: tukosoe panapokuwa na mabaya na tuunge mkono panapokuwa na mazuri.
Mkuu Ng'wanamalundi, naunga mkono hoja, na hii ndio kitu kinachoitwa kuwa mkweli daima, rais Magufuli ni binadamu na sio malaika, no one is perfect, anaweza kuwa na mapungufu yake ya kibinaadamu kama binadamu wengine wote, hivyo pamoja na mabaya yake yote, pia ana mazuri yake, tumkosoe kwa mabaya yake lakini kwenye mazuri, tumpongeze.

Tusilalamike tuu, kulaumu na kulaani kila kitu, kwenye mazuri tupongeze! Rais Magufuli is changing for the better!.

Tusikalie kumlaumu tu Rais Magufuli na Serikali yake wanapofanya mabaya, kwenye mazuri, pia tupongeze!.

Magufuli is Doing Good For This Nation, Tumuassess kwa Positive Attitude, Kwa Mazuri Tumpongeze, Tumuunge Mkono Kumsupport, lakini kwa Mabaya Tumkosoe

Magufuli is Getting Better and Better, He is Changing for The Better!. Hongera Sana!.

P
 
View attachment 1466734

Serikali kupitia Wizara ya Nishati, imetenga Sh 103.8 kwa ajili ya kusambaza umeme kwenye mitaa inayofanana na vijiji mkoani Lindi. Hayo yameelezwa na waziri wa Nishati Dk. Medard Kalemani juzi wakati wa uzinduzi wa mradi wa usambazaji wa miundobinu ya gesi asilia majumbani mkoani Lindi uliofanyika katika Kata ya Mnazi Mmoja Manispaa ya Lindi.

Kalemani amekiri kuna maeneo ya mjini ambayo mengi yaliitwa kama mitaa na si vijiji wakati kuna mitaa ambayo haina tofauti na vijiji.

“Tumeshatoa maelekezo kuwa mitaa yote inayofanana na vijiji iwe kwenye miji, Manispaa ama majiji yote ipelekewe umeme kwa Sh 27,000,” amesema.

Aidha, amesema fedha hizo zimetengwa katika bajeti ya mwaka 2019/2020 huku akimsisitiza Meneja wa Shirika la Umeme nchini (Tanesco) Kanda ya kusini, Feisian Makota kuzingatia na kuanza kutekeleza maagizo hayo kuanzia Julai Mosi mwaka huu. Baada ya utekelezaji wa mradi huu, watu wakapatiwa umeme, ukisifia utaonekana unatafuta UDISII?.
P

Awali akimkaribisha Waziri wa Nishati kuzungumza na wananchi, Mkuu wa Mkoa wa Lindi, Godfrey Zambi alimuomba waziri huyo kuangalia namna ya kuwaunganisha wananchi wanaoishi katika maeneo hayo sawa na wale wa vijijini ambako miradi ya REA inatekelezwa.
Haya ndio maendeleo makubwa tunayo yazungumzia.
P
 
Wanabodi,

Mimi ni mdau mkubwa wa maonyesho ya Saba Saba, kwenye Saba Saba ya Mwaka huu, nimetembelea Banda la Wakala wa Nishati Vijijini, REA kwenye maonyesho hayo, nikazungumza Mwenyekiti wa Bodi ya REA, Mkurugenzi Mtendaji, Wajumbe wa Bodi, Menejimenti na wadau wa REA kuhusu kinachofanywa na REA.

Nilichokiona hapo REA, kiukweli kabisa na msema kweli ni mpenzi wa Mungu, Rais Magufuli is doing good for this nation, amedhamiria kufikia mwaka 2025, wakati anaondoka madarakani, kupitia umeme wa Stigler na REA, kila mkoa, kila wilaya, kila kata, kila kijiji, kila kitongoji na kila kaya itakuwa na umeme wa uhakika.

Kwa dhamira hii, kwenye kipindi changu, nikampongeza rais Magufuli kuwa ana dhamira safi na ya kweli ya kulikomboa taifa letu na kuliletea maendeleo.
Nikaandaa kipindi kimoja cha 60 min, lakini kwa vile hakuna TV nchini yenye kuweza kutoa nafasi ya kurusha 60 min, nikakigawana kipindi kwenye vipindi 2 vya 30min each.

Kufuatia pongezi hizo, kumbe kuna mwana jf aliangalia kipindi na kanianzishia thread

Mkuu the Retired, kwanza asante kuangalia kipindi changu, kwanza mimi Pasco, nafahamika kwa kuwa mkweli daima na very critical sio humu jf pekee, bali nafahamika hadi Bungeni, hadi Ikulu, kuwa Pasco ni mkweli daima, very bold na critical. Siku zote kwenye ukweli nausema ukweli jinsi vile ulivyo, kwenye mazuri napongeza, kwenye mabaya nakosoa, hivyo kwa hili la azma ya rais Magufuli kusambaza umeme kila kaya, hili ni zuri, la kustahili pongezi na kuungwa mkono na rais Magufuli apewe all the support kwa asilimia 100%.

Hivyo kwenye bandiko hili nina hoja zifuatazo
Magufuli is Doing Good For This Nation, Tutumie Positive Attitude Kumfanyia Assessment, Akifanya Mambo Mazuri, Apongezwe, Aungwe Mkono, Akikosea, Akosolewe! nitaziweka in number format
  1. Magufuli is Doing Good For This Nation, Rais Magufuli ndiye rais wetu, yeye sio malaika ni binaadamu tuu kama sisi na anaweza kukosea, kitu muhimu tunachokiangalia ni dhamira yake ya dhati kulikomboa taifa hili kutoka katika lindi la umasikini uliotopea na kuliletea maendeleo ya kweli ambayo ni maendeleo ya watu. Katika kuyatekeleza haya, naamini hakuna anaedhani kuwa rais Magufuli ni malaika, such that he must be perfect, he can't be wrong, it is not, rais Magufuli is a human being, hivyo anaweza kukosea, lakini kukosea huko kunaweza kuwa kumefanyika kwa nia njema, hivyo kuna mipango mingi ya rais Magufuli aliyoidhamiria kwa taifa hili ni mipango mizuri, ikifanikiwa, italibadili kabisa taifa hili, hivyo this man is real diong good for this nation, anastahili pongezi na kuungwa mkono, kumsifia kwa mazuri ni kujipendekeza?.
  2. Tutumie Positive Attitude Kumfanyia Assessment. Kwa vile nimeishasema toka mwanzo kuwa rais Magufuli sio malaika, wala hategemewi kuwa malaika, ni binadamu kama sisi hivyo kuweza kufanya makosa ya kibinaadamu kama binaadamu wengine wote, hivyo katika kumfanyia a fair assessment lets not concentrate on the negatives, lets look at hizi positives. Kuna type ya watu wanaitwa fault finders, wao kazi yao na kutafuta makosa tuu na kuangalia mapungufu, hata mtu ufanye mazuri mangapi wao hawayaoni na hawayazungumzi, lakini ukifanya kosa moja tuu, linageuka wimbo!. Tutumie ile yardstick ya kanuni ya maji nusu katika glass, ukiwa na negative atitude utasema maji ni half empty, ukiwa na positive atitude utasema maji ni half full, hivyo tukimfanyia rais Magufuli assessment with positive attitudes, utajikuta hata zile negatives zake, ukiwemo hoja ya udikiteta, utauchukulia positive kuwa ni a benevolent dictator, yaani dikiteta mwema anayetumia udikiteta kuletea maendeleo, kwa sababi kiukweli kabisa, hapa Tanzania tulipofikia, tulihitaji mtu kama huyu.
  3. Akifanya Mazuri, Ashukuriwe, Apongezwe, Aungwe Mkono na Kupewa Support hata kama mazuri hayo ni kutimiza wajibu wake, na hayafanyi kwa fedha zake za mfukoni bali ni kwa kutumia kodi zetu. Watanzania tuwe ni watu wa shukrani, tuwe appreciative hata kwa madogo ili Mungu atutendee makubwa. Kwa vile rais Magufuli ni binadamu tuu kama sisi, Watanzania wote wazalendo wa kwenye wenye nia njema na taifa hili, wata wish rais Magufuli afanikiwe katika azma yake ya kulikomboa taifa hili toka katika lindi la umasikini uliotopea, kwa kujenga Tanzania ya viwanda, na kuipeleka Tanzania kuwa nchi ya uchumi wa kati. Katika kutekeleza haya, Rais Magufuli akifanya mazuri, anastahili pongezi na kuungwa kuungwa mkono ili kumtia moyo, encouragement azidi kufanya mema na mazuri zaidi na zaidi. Kama Mungu tuu mwenyewe hana mpinzani lakini ni wajibu wa binadamu na viumbe wote kumwabudu Mungu, kumsifu, kumtukuza na kumwimbia nyimbo za shangwe sifa na utukufu, hivyo hakuna ubaya wowote, pale ambapo rais Magufuli anafanya mambo mazuri, apongezwe, asifiwe na kuungwa mkono. Hapa naomba kutoa angalizo, sijasema aabudiwe!, kuna watu wanataka kumwabudu, au kuna wale wa type ya yule kichaa wetu, kazi yake ni kusifuu tuu, mimi sizungumzii kumsifia kwa mtindo wa mapambio, bali kupongeza, kumtia moyo, kum encourage na sio kumvimbisha kichwa.
  4. Akikosea, Akosolewe!. Kama nilivyoeleza mwanzo, rais Magufuli sio malaika ni binaadamu, na hakuna binaadamu mkamilifu, no one is perfect, hivyo kuna maeneo rais Magufuli anakosea kama binadamu wengine, mimi na watu wa type yangu, ambao ni waumini wa ukweli, tukiongozwa na falsafa ya ukweli usemwe, siku zote tutaendelea kusema kweli daima, hivyo rais Magufuli kama binadamu, akikosea, akosolewe kwa heshima kwa kutumia lugha ya staha na kuambiwa ukweli, na sio kukosolewa kwa kubezwa, kudhalilishwa kwa lugha za machukizo. Kwa mtu yoyote au kiongozi yoyote, mwenye akili na busara, akikosolewa atafurahi na kujitathmini, na sio kukasirika. Utakuta sisi wakosoaji wa rais Magufuli na serikali yake, ndio watu tunaomsaidia zaidi rais Magufuli na serikali yake kuwa rais bora, kuliko wasifiaji na waimba nyimbo za sifa na mapambanio na naamini rais Magufuli anachukulia ukosoaji very positively, katika hili la ukosoaji, mimi naamini kuna tatizo la wapambe nuksi wanaomsingizia rais kuwa anachukia wakosoaji. Najitolea mfano mimi mwenyewe, kuna kazi fulani fulani nimezuiliwa kuzifanya nikielezwa kuwa ni amri kutoka juu, ati kuna siku fulani, sisi waandishi tulialikwa mahali fulani, mimi nikauliza swali fulani, kwa mtu fulani, ninaelezwa juu juu kuwa huyo fulani alikasirika sana na mtu wa visasi, eti kufuatia hasira hizo, ndio ameamrisha mimi nisiruhusiwe kufanya kazi fulani fulani!. Wapambe hao hawasemi ni amri kutoka wapi, hivyo mimi siamini kuwa ni kweli ni amri kutoka juu, kwa sabubu huko juu kuna watu wakikasirika, utavanish into a thin air bali ni wasaidizi wapambe tuu ndio wanatoa hizo amri na kusingizia ni amri kutoka juu, ukiisha ambiwa ni amri kutoka juu, utakwenda wapi kuuliza?. Hawa watu walionipa hiyo amri kudai kuwa ni amri kutoka juu, hawanijui, wakijua ukiambiwa tuu amri kutoka juu, utaogopa!, kumbe mwenzao ndio kwanza niko kwenye mchakato wa kufika huko juu kileleni amri zinakotokea na kumuliza "Mzee, jee ni kweli hii amri ya mimi sifanye hili na lile ni amri yako?!", nikijibiwa ni kweli, then nitakuwa sina jinsi bali ni kutundika tuu daluga na kutafuta shughuli nyingine ya kufanya kuendesha maisha yangu!. Nikiambiwa sii kweli, nawashukia hao watoa amri fake za kutoka juu hadi kumfikia huyu anayejiita amri kutoka juu.
  5. Jee ukiwa Critical, ni mkosoaji mzuri wa maeneo yenye makosa, siku rais Magufuli akifanya mazuri, ukampongeza, huwezi kumpongeza genuinely bila kuonekana unajikomba, unajipendekeza, ni njaa tuu ya kusaka uteuzi?. Naomba niwahakikishie wana JF, mimi Pasco, sio mwanachama wa chama chochote cha siasa, na kwa trends za siasa za Bongo, kama unasaka uteuzi wowote, chama cha kujiunga nacho ni CCM tuu, yaani CCM ndio mpango mzima, Dr. Bashiru namfahamu toka UDSM, nikitaka uteuzi, ningeisha jiunga CCM siku nyingi!. Toka enzi za rais Mwinyi, huyu Dr. Husein Mwinyi ni school mate wangu Tambaza, ningekuwa msaka uteuzi, nimngemvaa Dr. Mwinyi anipaleke kwa baba. Rais Mkapa, mtoto wake ni Class mate wangu darasa moja na ni rafiki yangu, akiwa US nami nilikuwa US, Mkapa nakwenda kumsalimia kama baba fulani, hivyo ningetaka uteuzi, it was simple!. Enzi za JK hata kabla hajawa rais, JK anakuja UDSM kutangazia kugombea mimi ndio nili handle ile publicity. Riz One tunasoma naye sheria UD ni rafiki. Hotuba ya kwanza JK anahutubia UN GA, pale New York, mimi niko bennet na Riz, ningetaka uteuzi, it was very simple kupitia kwa Riz anipeleke kwa mshure!. Magufuli ndio usiseme!, kwanza ni home boy wangu, nikiwa na kazi zozote Geita, Biharamulo na Bukoba, nafikia Chato nyumbani kwa Magufuli, tena kuna siku nilikuwa na wageni fulani menu ikasumbua kidogo, mama Janet in person aliingia jikoni lirekebisha, hivyo kama kama ni kusaka uteuzi, it is as simple as ABC!. Kuna watu fulani humu ni wajinga wajinga wanadhani uteuzi is a very big deal kwa kila mtu, kuna watu wengi tuu, japo ni masikini wa kutupwa, hawana mpango wowote na uteuzi!, mimi sijawahi hata kuwa class monitor, hivyo nitafute uteuzi nikafanye nini?. Kuna watu hawataki hata kusikia kazi zozote za kitumwa na kutumwa kutumwa, wao wanapenda kujifanyia tuu mambo yao tuu kwa uhuru, hivyo naombeni sana wajameni, tuheshimiane.
Kwa haya kiukweli kabisa huyu mtu anafanya makubwa, atabarikiwa sana na nchi itabarikiwa.
Paskali

Ndugu zangu,

Tutambue kuwa wapinzani wasiofunzwa na Magufuli watafunzwa na watanzania kwenye sanduku la kura.

Wakati wapinzani wakianza kampeni kabla ya wakati kwa kisingizio kuwa hakuna sheria wala kanuni inayokataza huku wakitukana na kubeza serikali ya awamu ya tano kuwa haijafanya kitu, sasa rasmi Tanzania yaongoza Afrika katika usambazaji wa umeme vijijini.

Sote tunatambua umuhimu wa nishati ya umeme kwa maendeleo ya nchi

Hongera JPM
Hongera serikali
Hongera CCM

#2020 kura kwa John
P
 
Wanabodi,

Mimi ni mdau mkubwa wa maonyesho ya Saba Saba, kwenye Saba Saba ya Mwaka huu, nimetembelea Banda la Wakala wa Nishati Vijijini, REA kwenye maonyesho hayo, nikazungumza Mwenyekiti wa Bodi ya REA, Mkurugenzi Mtendaji, Wajumbe wa Bodi, Menejimenti na wadau wa REA kuhusu kinachofanywa na REA.

Nilichokiona hapo REA, kiukweli kabisa na msema kweli ni mpenzi wa Mungu, Rais Magufuli is doing good for this nation, amedhamiria kufikia mwaka 2025, wakati anaondoka madarakani, kupitia umeme wa Stigler na REA, kila mkoa, kila wilaya, kila kata, kila kijiji, kila kitongoji na kila kaya itakuwa na umeme wa uhakika.

Kwa dhamira hii, kwenye kipindi changu, nikampongeza rais Magufuli kuwa ana dhamira safi na ya kweli ya kulikomboa taifa letu na kuliletea maendeleo.
Nikaandaa kipindi kimoja cha 60 min, lakini kwa vile hakuna TV nchini yenye kuweza kutoa nafasi ya kurusha 60 min, nikakigawana kipindi kwenye vipindi 2 vya 30min each.

Kufuatia pongezi hizo, kumbe kuna mwana jf aliangalia kipindi na kanianzishia thread

Mkuu the Retired, kwanza asante kuangalia kipindi changu, kwanza mimi Pasco, nafahamika kwa kuwa mkweli daima na very critical sio humu jf pekee, bali nafahamika hadi Bungeni, hadi Ikulu, kuwa Pasco ni mkweli daima, very bold na critical. Siku zote kwenye ukweli nausema ukweli jinsi vile ulivyo, kwenye mazuri napongeza, kwenye mabaya nakosoa, hivyo kwa hili la azma ya rais Magufuli kusambaza umeme kila kaya, hili ni zuri, la kustahili pongezi na kuungwa mkono na rais Magufuli apewe all the support kwa asilimia 100%.

Hivyo kwenye bandiko hili nina hoja zifuatazo
Magufuli is Doing Good For This Nation, Tutumie Positive Attitude Kumfanyia Assessment, Akifanya Mambo Mazuri, Apongezwe, Aungwe Mkono, Akikosea, Akosolewe! nitaziweka in number format
  1. Magufuli is Doing Good For This Nation, Rais Magufuli ndiye rais wetu, yeye sio malaika ni binaadamu tuu kama sisi na anaweza kukosea, kitu muhimu tunachokiangalia ni dhamira yake ya dhati kulikomboa taifa hili kutoka katika lindi la umasikini uliotopea na kuliletea maendeleo ya kweli ambayo ni maendeleo ya watu. Katika kuyatekeleza haya, naamini hakuna anaedhani kuwa rais Magufuli ni malaika, such that he must be perfect, he can't be wrong, it is not, rais Magufuli is a human being, hivyo anaweza kukosea, lakini kukosea huko kunaweza kuwa kumefanyika kwa nia njema, hivyo kuna mipango mingi ya rais Magufuli aliyoidhamiria kwa taifa hili ni mipango mizuri, ikifanikiwa, italibadili kabisa taifa hili, hivyo this man is real diong good for this nation, anastahili pongezi na kuungwa mkono, kumsifia kwa mazuri ni kujipendekeza?.
  2. Tutumie Positive Attitude Kumfanyia Assessment. Kwa vile nimeishasema toka mwanzo kuwa rais Magufuli sio malaika, wala hategemewi kuwa malaika, ni binadamu kama sisi hivyo kuweza kufanya makosa ya kibinaadamu kama binaadamu wengine wote, hivyo katika kumfanyia a fair assessment lets not concentrate on the negatives, lets look at hizi positives. Kuna type ya watu wanaitwa fault finders, wao kazi yao na kutafuta makosa tuu na kuangalia mapungufu, hata mtu ufanye mazuri mangapi wao hawayaoni na hawayazungumzi, lakini ukifanya kosa moja tuu, linageuka wimbo!. Tutumie ile yardstick ya kanuni ya maji nusu katika glass, ukiwa na negative atitude utasema maji ni half empty, ukiwa na positive atitude utasema maji ni half full, hivyo tukimfanyia rais Magufuli assessment with positive attitudes, utajikuta hata zile negatives zake, ukiwemo hoja ya udikiteta, utauchukulia positive kuwa ni a benevolent dictator, yaani dikiteta mwema anayetumia udikiteta kuletea maendeleo, kwa sababi kiukweli kabisa, hapa Tanzania tulipofikia, tulihitaji mtu kama huyu.
  3. Akifanya Mazuri, Ashukuriwe, Apongezwe, Aungwe Mkono na Kupewa Support hata kama mazuri hayo ni kutimiza wajibu wake, na hayafanyi kwa fedha zake za mfukoni bali ni kwa kutumia kodi zetu. Watanzania tuwe ni watu wa shukrani, tuwe appreciative hata kwa madogo ili Mungu atutendee makubwa. Kwa vile rais Magufuli ni binadamu tuu kama sisi, Watanzania wote wazalendo wa kwenye wenye nia njema na taifa hili, wata wish rais Magufuli afanikiwe katika azma yake ya kulikomboa taifa hili toka katika lindi la umasikini uliotopea, kwa kujenga Tanzania ya viwanda, na kuipeleka Tanzania kuwa nchi ya uchumi wa kati. Katika kutekeleza haya, Rais Magufuli akifanya mazuri, anastahili pongezi na kuungwa kuungwa mkono ili kumtia moyo, encouragement azidi kufanya mema na mazuri zaidi na zaidi. Kama Mungu tuu mwenyewe hana mpinzani lakini ni wajibu wa binadamu na viumbe wote kumwabudu Mungu, kumsifu, kumtukuza na kumwimbia nyimbo za shangwe sifa na utukufu, hivyo hakuna ubaya wowote, pale ambapo rais Magufuli anafanya mambo mazuri, apongezwe, asifiwe na kuungwa mkono. Hapa naomba kutoa angalizo, sijasema aabudiwe!, kuna watu wanataka kumwabudu, au kuna wale wa type ya yule kichaa wetu, kazi yake ni kusifuu tuu, mimi sizungumzii kumsifia kwa mtindo wa mapambio, bali kupongeza, kumtia moyo, kum encourage na sio kumvimbisha kichwa.
  4. Akikosea, Akosolewe!. Kama nilivyoeleza mwanzo, rais Magufuli sio malaika ni binaadamu, na hakuna binaadamu mkamilifu, no one is perfect, hivyo kuna maeneo rais Magufuli anakosea kama binadamu wengine, mimi na watu wa type yangu, ambao ni waumini wa ukweli, tukiongozwa na falsafa ya ukweli usemwe, siku zote tutaendelea kusema kweli daima, hivyo rais Magufuli kama binadamu, akikosea, akosolewe kwa heshima kwa kutumia lugha ya staha na kuambiwa ukweli, na sio kukosolewa kwa kubezwa, kudhalilishwa kwa lugha za machukizo. Kwa mtu yoyote au kiongozi yoyote, mwenye akili na busara, akikosolewa atafurahi na kujitathmini, na sio kukasirika. Utakuta sisi wakosoaji wa rais Magufuli na serikali yake, ndio watu tunaomsaidia zaidi rais Magufuli na serikali yake kuwa rais bora, kuliko wasifiaji na waimba nyimbo za sifa na mapambanio na naamini rais Magufuli anachukulia ukosoaji very positively, katika hili la ukosoaji, mimi naamini kuna tatizo la wapambe nuksi wanaomsingizia rais kuwa anachukia wakosoaji. Najitolea mfano mimi mwenyewe, kuna kazi fulani fulani nimezuiliwa kuzifanya nikielezwa kuwa ni amri kutoka juu, ati kuna siku fulani, sisi waandishi tulialikwa mahali fulani, mimi nikauliza swali fulani, kwa mtu fulani, ninaelezwa juu juu kuwa huyo fulani alikasirika sana na mtu wa visasi, eti kufuatia hasira hizo, ndio ameamrisha mimi nisiruhusiwe kufanya kazi fulani fulani!. Wapambe hao hawasemi ni amri kutoka wapi, hivyo mimi siamini kuwa ni kweli ni amri kutoka juu, kwa sabubu huko juu kuna watu wakikasirika, utavanish into a thin air bali ni wasaidizi wapambe tuu ndio wanatoa hizo amri na kusingizia ni amri kutoka juu, ukiisha ambiwa ni amri kutoka juu, utakwenda wapi kuuliza?. Hawa watu walionipa hiyo amri kudai kuwa ni amri kutoka juu, hawanijui, wakijua ukiambiwa tuu amri kutoka juu, utaogopa!, kumbe mwenzao ndio kwanza niko kwenye mchakato wa kufika huko juu kileleni amri zinakotokea na kumuliza "Mzee, jee ni kweli hii amri ya mimi sifanye hili na lile ni amri yako?!", nikijibiwa ni kweli, then nitakuwa sina jinsi bali ni kutundika tuu daluga na kutafuta shughuli nyingine ya kufanya kuendesha maisha yangu!. Nikiambiwa sii kweli, nawashukia hao watoa amri fake za kutoka juu hadi kumfikia huyu anayejiita amri kutoka juu.
  5. Jee ukiwa Critical, ni mkosoaji mzuri wa maeneo yenye makosa, siku rais Magufuli akifanya mazuri, ukampongeza, huwezi kumpongeza genuinely bila kuonekana unajikomba, unajipendekeza, ni njaa tuu ya kusaka uteuzi?. Naomba niwahakikishie wana JF, mimi Pasco, sio mwanachama wa chama chochote cha siasa, na kwa trends za siasa za Bongo, kama unasaka uteuzi wowote, chama cha kujiunga nacho ni CCM tuu, yaani CCM ndio mpango mzima, Dr. Bashiru namfahamu toka UDSM, nikitaka uteuzi, ningeisha jiunga CCM siku nyingi!. Toka enzi za rais Mwinyi, huyu Dr. Husein Mwinyi ni school mate wangu Tambaza, ningekuwa msaka uteuzi, nimngemvaa Dr. Mwinyi anipaleke kwa baba. Rais Mkapa, mtoto wake ni Class mate wangu darasa moja na ni rafiki yangu, akiwa US nami nilikuwa US, Mkapa nakwenda kumsalimia kama baba fulani, hivyo ningetaka uteuzi, it was simple!. Enzi za JK hata kabla hajawa rais, JK anakuja UDSM kutangazia kugombea mimi ndio nili handle ile publicity. Riz One tunasoma naye sheria UD ni rafiki. Hotuba ya kwanza JK anahutubia UN GA, pale New York, mimi niko bennet na Riz, ningetaka uteuzi, it was very simple kupitia kwa Riz anipeleke kwa mshure!. Magufuli ndio usiseme!, kwanza ni home boy wangu, nikiwa na kazi zozote Geita, Biharamulo na Bukoba, nafikia Chato nyumbani kwa Magufuli, tena kuna siku nilikuwa na wageni fulani menu ikasumbua kidogo, mama Janet in person aliingia jikoni lirekebisha, hivyo kama kama ni kusaka uteuzi, it is as simple as ABC!. Kuna watu fulani humu ni wajinga wajinga wanadhani uteuzi is a very big deal kwa kila mtu, kuna watu wengi tuu, japo ni masikini wa kutupwa, hawana mpango wowote na uteuzi!, mimi sijawahi hata kuwa class monitor, hivyo nitafute uteuzi nikafanye nini?. Kuna watu hawataki hata kusikia kazi zozote za kitumwa na kutumwa kutumwa, wao wanapenda kujifanyia tuu mambo yao tuu kwa uhuru, hivyo naombeni sana wajameni, tuheshimiane!.
Paskali
Update
Hii ni update ya hoja za bandiko hili

Kwa haya kiukweli kabisa huyu mtu anafanya makubwa, atabarikiwa sana na nchi itabarikiwa.

Rejea mbalimbali za pongezi kwa Magufuli na serikali yake.
  1. Magufuli is Getting Better and Better, He is Changing for The Better!. Hongera Sana!.
  2. Ulinzi wa rasilimali za Taifa, Magufuli kiboko!, hataki mchezo kabisa!, Boss wa Acacia anyimwa viza kuingia Tanzania, Barrick yafunguka kila kitu!.
  3. Kiukweli nimeguswa sana na uchapakazi wa Rais Magufuli!. Je, kuna uhusiano kati ya kabila la mtu, na uchapakazi wake?. Je, 2020 kuna haja ya...
  4. Tusilalamike tuu, kulaumu na kulaani kila kitu, kwenye mazuri tupongeze! Rais Magufuli is changing for the better!.
  5. Hongera Serikali yetu, kuwatosa Acacia kwa kutowatambua huu ndio uanaume!. acacia kula jeuri yake, faces hostile take over, soon itakuwa kwishney!.
  6. Trend Reading: Rais Magufuli amebadilika, he is changing for the better, ameonyesha uwezo, anaweza!. Mei Mosi ya leo atapandisha mishahara!.
  7. Rais Magufuli, please don't bow down kwa hawa mabeberu wa US na EU, waeleze Tanzania ni nchi, a sovereign state
  8. Hata Nyerere alikataa, Rais Magufuli usikubali, shikilia msimamo. Tz tusikubali misaada na mikopo yenye masharti kuingilia sovereignty yetu
  9. Kupata maendeleo ya kweli, Watanzania ni lazima tujifunze kuukubali ukweli!. Hili la CCM kutawala milele ni kweli!.
  10. Tusikalie kumlaumu tu Rais Magufuli na Serikali yake wanapofanya mabaya, kwenye mazuri, pia tupongeze!.
  11. Rais Magufuli ni mpango wa Mungu kwa Tanzania, awasikiliza Maaskofu, au awapuuze na kusimama na Mungu wake?
  12. Pongezi Rais Magufuli. Ameonesha uzalendo wa hali ya juu uliotukuka!, amebadilika, amejishusha, uchumi wa Tz kupaa!
  13. Pongezi Jeshi la Polisi. Japo Nabii hakubaliki nyumbani, Jeshi sasa ni Sikivu, Most friendly na very hospitable
  14. Trend Reading: Wanaohamia CCM wasibezwe! Wanaona mbali, 2020 Majimbo yote kurejeshwa. Je tunarejea nchi ya Chama kimoja?
  15. Wapinzani Kujiunga CCM: Wanaikubali CCM Imebadilika?, Wanamkubali Magufuli na Kumfuata?, Au ni Njaa Zimewakimbiza?.
  16. Pongezi kwa Rais Magufuli Kusitisha Bomoa Bomoa Kwa Kuongeza Kigezo Cha "Human Face" He's So Human!
  17. Watch TBC Live, TIC na TPSF Wampongeza Magufuli Kwa Hatua Anazochukua, Zitaboresha Zaidi Mazingira ya Uwekezaji Nchini
  18. Wana JF, Tutofautishe Kati ya Kusema Uongo na Kuteleza Ulimi, Rais wa TZ Hawezi Kusema Uongo, Labda Kuteleza tuu!
  19. Watanzania tukosoane kwa nia ya kujenga na sio kubomoa- Clouds 360
  20. Swali la Ukweli Mchungu: Je, 2020 Magufuli ana mpinzani au mshindani, au Ni Magufuli tu?!.
  21. Tuhuma Za Ukabila: Wasukuma Sii Miongoni Mwa Makabila Yenye Ukabila, Tatizo Ndio Walio Wengi!
  22. Tusimlaumu Rais Magufuli Kwa Kila Kosa, Rais Yeye Hana Kosa Bali Anashauriwa Vibaya!.

Ili kuthibitisha mimi sio praise singer, [ia nakuwekea baadhi ya threads zangu za ukosoaji, nimekuwekea 35 tuu, ukitaka 70, ninazo na hata ukitaka zaidi ninazo ziko hadi 100!.
  1. Rais Magufuli ni Mkweli Daima!. Jee Tumuunge Mkono Rais Wetu Katika Kila Ukweli Wake, Hata Kama Uko Kinyume cha Katiba, Sera na Ilani?.
  2. Uchumi wa Magufuli: Sekta Binafsi ina-Suffer. Yalianza Maduka, Yakafuata Mashirika, Sasa ni Zamu ya Media Ina-suffer!
  3. Kama kikokotoo kipya ni matokeo ya actuarial valuation ya mifuko, kosa la Irene Isaka ni lipi hadi atumbuliwe? Tusishangilie tuu...mwishowe...
  4. Trends, Visions: Watanzania msitatizwe na kauli zake kuhusu Katiba, baada ya Nyerere, ni Magufuli ndiye ataacha legacy kubwa ikiwemo Katiba Mpya!.
  5. Uongo unaosemwa kumhusu Rais wetu Magufuli na nchi yetu Tanzania, usipuuzwe! Ukanushwe na ukweli usemwe!
  6. Bunge butu linaloingiliwa na kunyamaza, linapojikomba na kujipendekeza kwa Rais, linaweza kweli kuisimamia Serikali?!
  7. Reli ya SGR: Je, Tujifunze kwa wenzetu Kenya kuepusha SGR yetu kuwa ‘A White Elephant’? Wenzetu yameshawakuta...
  8. Rais anapoteua Mawaziri wenye uwezo mdogo, Ukisema Waziri fulani ana uwezo mdogo, Je ni kumwingilia Rais katika uteuzi?
  9. Udikiteta Tanzania: Je, Rais Magufuli kweli ni dikiteta au wanamsingizia tu? Msikie Mwalimu Nyerere kuhusu udikiteta!
  10. Kwanini CCM inaendelea kushinda chaguzi, licha ya kuwa ndio chanzo cha umasikini wa taifa letu, rushwa na ufisadi?!
  11. Licha ya CCM kuwa chanzo cha umasikini, ujinga, rushwa na ufisadi, kwanini CCM bado huwa inashinda chaguzi mbalimbali?
  12. Taifa linahangaika na wasiojulikana waliomshambulia Tundu Lissu! Je, ni hawa?! Mhe. Mwigulu, IGP, anzieni hapa!
  13. Shurti la kudhaminiwa na chama kugombea uchaguzi, ni shurti batili kwa mujibu wa Katiba, linatutia hasara, tulifute!.
  14. Kama hiki ndicho Lowassa alichoitiwa Ikulu, Then tuna Rais wa ajabu! Kama ni Uongo, Lowassa ashitakiwe kwa Uchochezi!
  15. Kauli ya Kakobe "Magufuli atubu", yaibua mambo! Je asili halisi ya Rais Magufuli ni Msukuma, Mhaya au Muha wa Kakonko?
  16. Magufuli kutawala kurasa za mbele za magazeti, Je anastahili hata kama hazina impact, au wahariri wanajipendekeza?
  17. Kama Hii Ndio Situation ya Bomoa Bomoa ya Ubungo na Kimara Bila Fidia, Then Faraja Pekee ni Kuwa, Watafidiwa Tuu!.
  18. Naunga Mkono Uwanja wa Ndege wa Chato, Una Justification, Utakuwa kama Ggabolite, au Yamoussoukro, Watalii Watamiminika!
  19. Priorities Zetu Nini?. Dola Milioni 300 Zinatosha Kununua Smelter, Jee Tununue Au Tuzitumie Kwa Mahitaji Muhimu Zaidi?
  20. Kumbe Tunapaswa Kumiliki,16% Stake ya Migodi Yote!, Jee ni Kweli Tunamiliki?, Are We Open & Fair Kwa Investors?.
  21. Je, Maendeleo ya Kweli ni Maendeleo ya Watu au Vitu?- Wachumi Tusaidieni, Magufuli Analisaidia Taifa au Ataliangamiza?.
  22. Kauli huumba! Je, ni kweli Magufuli ni dikiteta? Kama ni kweli, ni kosa la nani kati yake na aliyetoa kauli hii?
  23. Shambulio la Lissu: Wajue Wasiojulikana Watakaojulikana na 'Wasiojulikana' Ambao Kamwe, Hawatajulikana!.
  24. Baba, Mtoto wako mtundu, amejisaidia mkononi, Je, utaukata au kuusafisha na kumsafisha?
  25. Tuhuma za udini, ukanda na ukabila katika teuzi, kama wote wana sifa, kuna tatizo gani?.
  26. Wabunge Wetu wa Ajabu!, Wanaachaje Bunge Lijipendekeze Kwa Serikali!, Wanajua Wajibu Wao?. Check 'n' Balance Itoke Wapi?
  27. Bunge ni Mhimili Huru, Sii Busara Kukatisha Matangazo Live ya Bunge Kupisha Matangazo Mengine ya Live!.
  28. Kuibiwa Rasilimali: Watanzania ni Watu wa Ajabu Sana!.Tunalaani Matokeo Badala ya Chanzo?!. Nani Aliyetufikisha Hapa?.
  29. Zita Act Retro-Respectively? Tutavunja Mikataba Yote Iliyopo?, Can we Stand?, Do we Have The Guts?.
  30. Kitendo cha Kukiuka Ilani ya CCM Bila Kikao Chochote, Sio Udikiteta?
  31. Je, Wanaoshangilia na Kupongeza Bajeti Wanajua Wanashangilia Nini? , Au Tunashangilia Ujinga?! .
  32. Mkapa na Kikwete Walidanganywa na Wakadanganyika!, Magufuli Anadanganywa!, Jee Atadanganyika?
  33. Je, wajua suala vyeti vya Bashite, linaweza kabisa kumng'oa Rais Magufuli pale Ikulu?.
  34. Wito kwa Bunge letu tukufu: Mkithibisha hii Nepotism ya ajabu na zile Boeing ni TT, then hatufai!.
  35. Spending So Much Kwenye Muungano: Does This Justify Tulipofuta Uhuru Just To Save ?!.

Huyo ndugu yako Paschal hakubali kukoselewa hata kidogo. Ukimkosea unaweza ukapotezwa, ambao wamemkosoa na wakaishi wanayo bahati sana..Kuna aliyofanya mazuri hasa yale ya kuthubutu kwa kuamini unachokiona ni sahihi lakini kuna mengi aliyofanya mabovu hasa ya kupoteza watanzania wasio na hatia na kuwaumiza wengi waliompinga. Namfananisha na Rais Teodoro Obiang Nguema Mbasogo, hawana tofauti kubwa.
 
Pascal hivi haya yanayofanyika wewe unayapenda. Kweli Pascal unayapenda ebu sema ukweli from your HEART. Au kuna kitu unakitaka, mbona umebadilika baada ya kuomba kugombea Ubunge. Au ni kwavile walikunyanganya fursa zote mpaka ukaanza kukosa namna ya kulisha familia. Kama umerudi kwa ajili ya fursa yako pmj na familia yako ni vizuri ila ni bora ukae kimya. Mateso anayoyafanya Magufuli siyo ya kawaida, siyo uongozi wa haki. Magufuli kakosea wote tulimpenda Magufuli kabla ya 2015 lkn amebadilika huyu Magufuli wa sasa siyo yule wa kipindi cha Kikwete. Magufuli wa leo ni mpenda sifa asiyetaka kumsikiliza yeyote, mpenda malipizi, asiyesamehe, mwenye chuki. Magufuli wa leo anajiona yeye ni Mungu na hakuna kama yeye. Maandamano ndio itakayoikoa Tanzania ya sasa. Ngoja tuikomboe Tanzania, baadae nyie ndio mtakuwa wa kwanza kusema Magufuli alikuwa hafahi. Haki haiwezi kuja bila kutafutwa kwa nguvu, na yote haya lazima baadhi yetu wafe kwa ajili ya wenzao. TUPO TAYARI KUANDAMANA KWA AMANI WAKIAMUA KUTUUA SAWA. LKN HAWATAFIKA MBALI KTK UTAWALA WAO. One day utaniambia
Mkuu Kunta Kinte, pole sana maana naona umeandika kwa uchungu, Magufuli is changing for the better, awamu yake ya pili, he will be the best of the best na akimaliza ile 2025, he will be the best president this country have ever had!.
P
 
IMG-20200902-WA0067.jpg

Huu ndio ukweli nilio uzungumza kwenye bandiko hili.
P
 
kuhusu Mfuko wa Mafuta wa Norway haugawi pesa kwa watu kama anavyodai yeye ila unasimamia uwekezaji wa pesa zinazopatikana kwenye mafuta ni tofauti na anachokisema ..., nashukuru Mungu ninaishi hapa Oslo na nafanya kazi kwenye sekta ya nishati hivyo naelewa zaidi kuliko ajuavyo yeye.

Na hapa Norway Umeme unaoongoza kwa unafuu na kwa kuzalishwa kwa wingi unatokana na maji na Norway ndio inaongoza bara la ulaya kwa kuwa na umeme mwingi wa Maji 54GW, Ujerumani anaongoza umeme wa Solar 46GW, Denmark anaongoza Kwa umeme wa Upepo 28GW. USA 70% ya umeme wao ni wa maji, china 80% ya Umeme wao ni Maji.
Mkuu Karonda Kibamba, nimeupenda mchango wako huu, Tanzania itajengwa na Watanzania wenyewe. Nyinyi Watanzania wenzetu mliobahatika kwenda nje na kupata exposure ya kutosha, tumieni ujuzi wenu sio tuu kwa kuisaidia kutuelimisha na kuisaidia serikali yetu. Kwa post hii tuu nimeelimika sana, Tanzania tuna vyanzo vya maji lukuki, tuna upepo, tuna jua la Kumwaga masaa 12, toeni ushauri kwa serikali yetu mkionyesha hizo good practices toka huko kwa wenzetu walioendelea!, last week nimeona floating solar panels kwenye bahari, we have ample space ya kuvuna solar power, tusaidieni wenzetu kuisaidia nchi yetu!.
Asante sana kwa mchango huu!.
P
 
Back
Top Bottom