Vita kali dhidi ya rushwaHiyo "massive crackdown on corruption" kiswahili chake ndiyo nini?
Kali? Kama pili pili?Vita kali dhidi ya rushwa
Huwa nashangaa! Hivi rushwa ilikuwa Bandarini Dar tu? Mbona bado Tanzania iliyobaki inanuka rushwa? Magufuli amefanya kitu kama tone moja katika bahari na mnampa sifa kibao! Kule mipakani na nchi jirani bado rushwa ni kama kawa! Huku serikalini ufisadi bado kuguswa! Kuna kazi kubwa bado mbele ya Maguifuli!!!Vita kali dhidi ya rushwa
Rushwa ya bandarini haikuwa tone kwenye bahari....bali ilikuwa ndio bahari yenyewe. Wewe upo huko Mbinga haya huwezi kuyaelewa. Sisi tunao agiza mizigo kutoka nje ndio tunajua rushwa ya pale bandari na ni jinsi gani serikali ilikuwa inakosa mapato huku maafisa forodha wakitajirika na kuwa mabilionea.Huwa nashangaa! Hivi rushwa ilikuwa Bandarini Dar tu? Mbona bado Tanzania iliyobaki inanuka rushwa? Magufuli amefanya kitu kama tone moja katika bahari na mnampa sifa kibao! Kule mipakani na nchi jirani bado rushwa ni kama kawa! Huku serikalini ufisadi bado kuguswa! Kuna kazi kubwa bado mbele ya Maguifuli!!!
Kama upupuKali? Kama pili pili?
Cynics bwana waga hawakosiHuwa nashangaa! Hivi rushwa ilikuwa Bandarini Dar tu? Mbona bado Tanzania iliyobaki inanuka rushwa? Magufuli amefanya kitu kama tone moja katika bahari na mnampa sifa kibao! Kule mipakani na nchi jirani bado rushwa ni kama kawa! Huku serikalini ufisadi bado kuguswa! Kuna kazi kubwa bado mbele ya Maguifuli!!!
Upo sahihi kabisa hatokuwa na jipya. Umesahau kuwa CCM ni ile ile? Sasa unatarajia vipi mwanaCCM awe na jipya? Ila ndio huyo tuliye mchagua na ni rais wetu sasa. Nyie rais wenu yupo Monduli anachunga Ng'ombe.Huyu JPM hamna kitu. Ni mzee wa matamko ya masaa au siku 7.
1. Bado Dar na nchi nzima kuna uchafu umezagaa.
2. Bado daladala zinasimamisha abiria kama kawa
3. Bado maduka ya madawa yapo nje/mbele ya hospitali za serikali.
4. Kitendawili cha uchaguzi Zanzibar bado hajaweza kukitegua
5. Mawaziri wa escrow wapo kibao ktk serijali ya JPM
Hatakuwa na jipya