Magufuli Huyoo!

Huyu Magufuli Huku Mtaani Hachaguliki....Ni Lowassa asbh,Mchana,Jioni,na Usiku.
 
Hahahhahahaha.......hata kwa hiyo rangi tu zingekuwa ni kwel zipo tusingezinunua labda misukule ya lumumba na IT centre masaki kama mlivyo design hapo masaki
 
Zote ni Made in China na sio Original.... Kila la Kheri
Is there anything made in Tanzania? Ndio maana Magufuli anataka kujenga VIWANDA. Magufuli akili KUBWAZZZZZZZ
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…