italiwa hiyo tukaishiwa kupewa porojo kodi nyingi wanatukata, bandari zetu pekee zikiendeshwa vizuri sie umaskini tutakuwa tunaangalia BBC tu ukoTUNASUBIRI na wengine kuanzia makatibu wakuu, manaibu, Wakurugenzi wakuu na wengine bila kusahau wafanya biashara wakubwa na wadogo kushiriki ktk hili.
NATAMANI RC angetoa line za simu kila mtandao kila mtu achangie hata mwenye shs moja.
Kila mwana DSM let us say watu milioni 4, kila mmoja AKITOA minimum shs 500 imagine tutapata shs ngapi??
i.e Tshs 2 bil. Je kwa hizo hatujatatua kero za Hosp na shule????
Queen Esther
E
Anatoa mara moja sh milioni 6 mbona unampigia kwa miaka mitano?Sioni logic yoyote hapo.
Eti raisi anatoa M6 ya mshahara wake ili kuchangia ujenzi wa shule.
Kweli Tanzania ya Leo ndio tumefika hapo?
Namkumbuka Lowassa alivyoweza kuhamasisha shule za Kata na vyuo vikuu kujengwa na ndani ya miaka miwili tukaona shule na vyuo vikiota kama uyoga.
Hii nchi imegota na kinachotupumbaza ni hayo maigizo na Sikh hizo skip zikiisha ndio wadanganyika watafunguka macho na kupaza sauti "kwanini majirani zetu Kenya,Uganda,Burundi na Rwanda wametuacha kiuchumi" lakini It will be too late.
M6 x 12 x 5 = M360
Hapo ndio upige hesabu na uone ndani ya miaka 5 ya mpito tutajenga shule ngapi.
Tumechoka maigizo
Kapeleka zote barWew icho kidogo unachopata umechangia shughuli gan ya marndeleo?
Unijua multiplier effect....Wewe ni waziri mkuu?
Kama kila kitu kinaonekana ni uongo na usanii, basi duniani kusingekuwa na serikali zinazochaguliwa na watu. Mtu ambaye haamini kila anachoambiwa, maana yake ni kwamba yeye binafsi hana uaminifu na sio wale wanaomzunguka.ana lala bure,kula bure,anasomeshewa million 6 kwenye million 55 kwa mwezi sawa na tone la maji ktk bahari.
pia nani atahakiki kuwa atakuwa anakatwa
Rais John Pombe Magufuli amekubali kukatwa kiasi cha shilingi milioni sita kutoka katika mshahara wake ili zielekezwe kwenye ujenzi wa madarasa ya shule mpya hapa jijini Dar es Salaam. Pia Makamu wa Rais, Samia Suluhu Hassan na Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa watakatwa Sh milioni sita kila mmoja ambazo zitapelekwa katika jukumu hilo.
Wakati huo huo Mawaziri wote wa serikali ya awamu ya tano watakatwa kiasi cha shilingi milioni moja kila mmoja kutoka kwenye mishahara yao ili kufanikisha hili.
TUNASUBIRI na wengine kuanzia makatibu wakuu, manaibu, Wakurugenzi wakuu na wengine bila kusahau wafanya biashara wakubwa na wadogo kushiriki ktk hili.
NATAMANI RC angetoa line za simu kila mtandao kila mtu achangie hata mwenye shs moja.
Kila mwana DSM let us say watu milioni 4, kila mmoja AKITOA minimum shs 500 imagine tutapata shs ngapi??
i.e Tshs 2 bil. Je kwa hizo hatujatatua kero za Hosp na shule????
Queen Esther
E
Ni wangapi wenye moyo huu wa kutoa,,,,,,,,Hizo ni kodi zetu wala sishangai. Kwanza wanapewa Kila kitu na serikali. Mishahara yao inakaa benki tu wala haifanyi kazi
Kwanini???Kama kweli wako serious na Elimu yetu atunge sheria ya watoto wote wa viongozi wasome shule Za serikali