Muwe mnachunguza kwamba kabla hamjaandika:Kuja wakati wa kuapishwa ni protocol. Kuna mabo huwezi kuyakwepa hata kama humpendi muhusika kama kuapishwa Rais wa jirani yako.
Mahcagia mada ana hoja ambayo na wewe unaifahamu. Iweje pongezi zitoke kwa Raila odinga ambaye si Rais wa Kenya wakati Rais wa Kenye yuko kimya.
Kuuficha ukweli haisaidii, tena afadhali ungesema tuone atakavyoishi na majrani zake.
Hao wengine sina sababu ya kutafuta ikiwa wamepongeza au hapana coz' hakuna hata mmoja miongoni mwao ambae yupo madarakani kwa kupitia uchaguzi halali kwahiyo mnageuka kiroja mnaposema eti mtu kama Museven au Nkruziza au Kagame hawajaridhishwa na mwenendo wa uchaguzi wa Tanzania!!!President Kenyatta congratulated Mr Magufuli saying Kenya was committed to strengthening its relationship with its southern neighbour.
"Kenya presents its compliments to the High Commission of the United Republic of Tanzania," a letter dated November 2 says. Source The Daily Nation
Hebu toa mfano mmoja ku-defend hoja yako! Au ile ya kukataa matumizi ya vitambulisho kuwa hati halali ya kusafiria? Au ile ya kui-criticize CoW ambayo haikuwa na manufaa yoyote kwetu? Au ile ya kudhibiti watu waende watakako kwa kisingizio cha labor mobility? Hebu toa mifano ya kuthibitisha hoja yako manake nina hofu hata ikiwa timeline ya EAC unaifahamu vizuri!!!
Mpo?
Kwa kawaida mgombea akishinda uchanguzi upongezwa.Lakini hii ni kinyume na rais mteule wa TZ. Sijapata kusikia rais wa Kenya, Uganda, Rwanda au Burundi akimpongeza Bw. Maguufuli kwa ushindi wake.
Huenda hawampendi? Ama hawafagilii namna alivyoshinda uchanguzi? Au wana sababu zao?

Kama unaifuatilia vizuri issue ya East African Community, suala la hadi lini One Network Area liwe implemented, walijadiliana mwaka jana Kampala... sio kwenye kikao cha EAC bali cha CoW na katika kikao kile; sawa na vikao vingine vyote vya CoW, Burundi na Tanzania hazikuwepo! Kwahiyo Tanzania inaweza kujiunga at the right time kwake na sio kwa matakwa ya CoW na ndio maana hata Director wa TCRA ameshapata kulizungumzia suala hilo.Unauliza swali halafu unajibu. Nini faida ya kusign protocol bila ya azma ya kuitekeleza? Ukiachilia mbali free movement na miradi ya northern corridor hata mambo madogo mfano one network tumeshidwa kutekeleza. One network imepunguza gharama ya regional calls kwa zaidi asilimia hamsini mataifa ya COW.
Unauliza swali halafu unajibu. Nini faida ya kusign protocol bila ya azma ya kuitekeleza? Ukiachilia mbali free movement na miradi ya northern corridor hata mambo madogo mfano one network tumeshidwa kutekeleza. One network imepunguza gharama ya regional calls kwa zaidi asilimia hamsini mataifa ya COW.
Kuja wakati wa kuapishwa ni protocol. Kuna mabo huwezi kuyakwepa hata kama humpendi muhusika kama kuapishwa Rais wa jirani yako.
Mahcagia mada ana hoja ambayo na wewe unaifahamu. Iweje pongezi zitoke kwa Raila odinga ambaye si Rais wa Kenya wakati Rais wa Kenye yuko kimya.
Kuuficha ukweli haisaidii, tena afadhali ungesema tuone atakavyoishi na majrani zake.
Sababu ni moja tu! Kilichofanyika Tanzania haikuwa wizi wa kura tu..... Hapana! Ilikuwa Robbery With Violence (Wizi wa kimabavu)! Kama kweli Makifuli alishinda kwa kura kulikuwa na haja gani serikali kuyavamia vituo vya UKAWA vya kujumlisha kura? Kulikuwa na haja gani ya kuivamia ile shirika isiyo kiserikali (NGO) ambayo ilikuwa ikifuatilia mchakato wote was upigaji kura?
Tanzania imekua ikijionyesha kama nchi inayoongoza kwa kukuza demokrasia na amani Afrika Mashariki tofauti na Rwanda, Burundi, Kenya na Uganda. Katika uchaguzi wa Oct 25 serikali ya Kikwete walionyesha Ulimwengu wote their true colours. Kama viongozi wa upinzani walivyosema huu ulikuwa ubakaji wa demokrasia.
Iweje unatangazwa mshindi hakuna wa kushangilia?
Believe me the legitimacy of Magufuli presidency is in question the world over. Am eagerly waiting to see who'll attend the inauguration ceremony! Binafsi nasema hayajaisha...
Mpo?
Kwa kawaida mgombea akishinda uchanguzi upongezwa.Lakini hii ni kinyume na rais mteule wa TZ. Sijapata kusikia rais wa Kenya, Uganda, Rwanda au Burundi akimpongeza Bw. Maguufuli kwa ushindi wake.
Huenda hawampendi? Ama hawafagilii namna alivyoshinda uchanguzi? Au wana sababu zao?
margin ya kura million 2 hapo hapo unamawakala nchi nzima unibiwaje!? kale ndimu na kaongeze na ukwaju kama umechukia
Nina shaka na umakini wako. Nimesema kilichofanyika haikuwa wizi wa kura - rejea matukio niliyonakili hapo. Huu ulikuwa ubabe usio na mfano. Mbona unatoa makucha saaana?
margin ya kura million 2 hapo hapo unamawakala nchi nzima unibiwaje!? kale ndimu na kaongeze na ukwaju kama umechukia
Afadhali hao wanaofikiri, kuna baadhi ya maeneo watu wanafahamu kuwa Nyerere bado ni Rais hivyo wakati wa kura lazima wakipigie kura chama cha NyerereWatu wengine wanafikiri Lowassa ndiye rais!