Magufuli hatambuliki E.A.C?

hata Zenji hatambuliki cause hawakumchagua uchaguzi ulikua batili na matokeo yakafutwa kama mtoto anavyofutwa uji..
 
Kama kuna mtu jana kaangalia taarifa ya habari ya ITV saa 20:00 rais wa Rwanda Kagame amempongeza
 
Ukimya wao kuanashiria kutoridhika na mwenendo wa uchaguzi.Kuhudhuria kwao kuapishwa Magufuli hivi leo ni staili ya basi tuu tutimize wajibu jirani huyu. Kufutwa uchaguzi Zanzibar kumechukiza wengi.

We ni mburula.
Unawasubiri watu ambao nchini kwao demokrasia ishasahaulika.

Yaani unataka mpaka mseveni naye afurahie namna uchaguzi wa tanzania ulivofanyika.
Unajua uchaguzi wa uganda huwa unafanyikaje?
Unajua mambo anayowafanyia wapinzani wake kina byesige na mbambazi?

Kama unadhani upinzani unaminywa tanzania hebu kabip uganda uone.
Na kama unadhani polisi wa tanzania wanatumiwa vibaya na serikali basi kabip wale wa uganda upate dozi mujarabu kabisa
 

acha kumtisha bana kwani idadi ya wabunge wa upinzani uganda ni sawa hapa kwako.mnakwiba bila huruma, one day yes
 
acha kumtisha bana kwani idadi ya wabunge wa upinzani uganda ni sawa hapa kwako.mnakwiba bila huruma, one day yes

Simtishiii.
Acha upofu.
Uganda sio nchi ya kwenda kujifunzia demokrasia.
Na hapo sio hata habari ya wizi...
Unataka kweli tukajifunze demokrasia kwa mseveni?
Na unataka tusubiri pongezi ya mseveni?
 

U CCM wako unakuvuruga akili kweli.Upuuzi wa kufutwa uchaguzi Zanzibar bado tu unaamini Tanzania ipo demokrasia.
 
Ndiyo,waarabu wenye kanchi kao ndani ya serengeti "The Emirate Empire of Loliondo" EAST AFRICA.

Hako kanchi kajiunge tu na EAC.
Hizo salamu zilipotajwa sikujua ni nchi gani wanamaanisha.
 
U CCM wako unakuvuruga akili kweli.Upuuzi wa kufutwa uchaguzi Zanzibar bado tu unaamini Tanzania ipo demokrasia.

Upuuzi wako unatokana na kujadili hoja kwa misingi ya itikadi za vyama.
Hata uwe Cuf hata uwe NLD uganda sio nchi ya kujifunzia demokrasia.
Sijui umekula maharage ya wapi wewe?
Maombi ya Gwajima yanakuhusu..si bure
 

Kusherekea ama kukaa kimya has nothing to do with the fate of Tanzanians...ungekuwa mzalendo ungeungana na watanzania wengine kusherekea kuapishwa kwa rais Magufuli siyo kukaa humu una bwabwaja....maana hakuna namna ni kumpa ushirikiano...by the way nasikia marais 8 watahudhuria malofa wamesusia
 
Simtishiii.
Acha upofu.
Uganda sio nchi ya kwenda kujifunzia demokrasia.
Na hapo sio hata habari ya wizi...
Unataka kweli tukajifunze demokrasia kwa mseveni?
Na unataka tusubiri pongezi ya mseveni?

kuhubiri kuhusu demokrasia ni jambo moja..

kuilinda na kuitekeleza demokrasia ni jambo lingine
 
Mzalendo.....????Uzalendo huku ukilazimishwa wa kukutawala?Tunataka vingozi c watawala.
.
 
Si usubiri uone kama atakuja mtu siku ya kuapishwa kwa jamaa...

Kuja wakati wa kuapishwa ni protocol. Kuna mabo huwezi kuyakwepa hata kama humpendi muhusika kama kuapishwa Rais wa jirani yako.

Mahcagia mada ana hoja ambayo na wewe unaifahamu. Iweje pongezi zitoke kwa Raila odinga ambaye si Rais wa Kenya wakati Rais wa Kenye yuko kimya.

Kuuficha ukweli haisaidii, tena afadhali ungesema tuone atakavyoishi na majrani zake.
 
we ni mbuzi kwl ata vyombo vya habari hufatilii madem wngne bhn!

Kama mie mbuzi we mwanambuzi. Kwani matokeo ya uchanguzi yalitangazwa juzi ndio Kagame ampongeze jana?
Lake sio kumpongeza ila alitimiza wajibu.
TAFAKARI HILO.
 

Wewe umerogwa kwani huwaoni jukwaani?
Kama huoni husikii hata radioni?
Acha unafiki wewe.
 


Wewe lubiziba, kyende za mamako zilikauka kama jowe wakati ukizaliwa. Uchu na tamaa sa madaraka zimewafanya kikwete na genre lake la wizi kuipindua Tanzania. Utasherehekeaje kuapizwa rais Wa kuchongwa Wa plastiki maguu-fool?
 
Everyone knows utawala wa CCM ndio kizingiti nambari moja ukuwaji wa EAC.
Hebu toa mfano mmoja ku-defend hoja yako! Au ile ya kukataa matumizi ya vitambulisho kuwa hati halali ya kusafiria? Au ile ya kui-criticize CoW ambayo haikuwa na manufaa yoyote kwetu? Au ile ya kudhibiti watu waende watakako kwa kisingizio cha labor mobility? Hebu toa mifano ya kuthibitisha hoja yako manake nina hofu hata ikiwa timeline ya EAC unaifahamu vizuri!!!
 

Ila wanaoongeza term limit ndo wapo kihalali? Punguzeni upuuzi uchaguzi ushaisha.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…