Magufuli hafai kuwa Rais: Siyo msafi na hajawahi kuwa msafi

Status
Not open for further replies.
Kwa ufupi mimi naamini hakuna...!
Anayeamini wapo na hizo nyumba zipo ataje humu!
 
Kuwa na heshma kwa kiongozi wa nchi. Tumia lugha ya busara. Kama una hoji ungeomba tu ushahidi wa tuhuma na sio kutaka majina ya nani sijui. Watu wanajua lakini kufanya hivyo ni kumdhalilisha. Tumkosoe lakini tusimdhalilishe
Heshima ni kwa kila mtu/mwanadamu sio kiongozi pekee, tambua na thamini thamani yako. Hata wewe unaweza kuwa rais wa kesho. Huwa naona ni upumbavu sana mtu kudhani kiongozi anatakiwa kuthaminiwa sana kuliko watu wengine, wote tumeumbwa sawa, ndio mana kila mtu anakula, anakojoa, anakunya, n.k
 

Sio bure wewe utakuwa unawashwa washwa
 
Ok, nakumbuka enzi zile magazeti yaliandika sana na a name was mentioned.
 
Sina uhakika na motive yako juu ya swala hili ila nina concerns kadhaa hapa:-
1. Ni kweli kwamba nyumba za serikali ziliuzwa katika kipindi ambacho Mkuu wa sasa alikuwa waziri mwenye dhamana, na utaratibu wa kuuza zile nyumba hakuna shaka kwamba uligubikwa na misingi ya kifisadi/kutokuwa na utaratibu maalum, CAG wa sasa aliwahi kusema kwamba ile ilikuwa ni "Political Entrepreneurship".

Swali la kujiuliza hapa ni je, hakuna jinsi yoyote ambayo Waziri husika pia alifaidika?

2. Kama alifaidika (kama), haiyumkini moja ya watu aliowatumia kwenye faida hiyo ni watu ambao ni jinsia tofauti na labda watu ndiyo wakaafikia hitimisho la kwamba ni Kimada/Vimada.

3. Kama hakufaidika ni vizuri kwa rekodi zake, lakini pia inabidi tufikie mahali tufukue makaburi yote kama lengo kweli ni kukomesha ufisadi, kwa sababu ninachokiona tunafukua makaburi ya upande wa tofauti na sisi.
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…