Magufuli : Chuo Cha Kampala Ni Cha hovyo!

Magufuli : Chuo Cha Kampala Ni Cha hovyo!

Nadhani concern hii inawahus moja kwa moja TCU au wizara ya elimu ambao wana wajibika moja kwa moja na haya mambo.
Kwann malalamiko haya yasielekezwe kwa hawa watu ambao wana njia za kupokea maoni badala ya kuzielekeza moja kwa moja kwa rais?
USHAURI
Taasis za usalama mfano tiss nadhan haya mambo mnapaswa kuyajua in advance na kuya report yafanyiwe maamuzi.
Tunajua mna kazi nying hasa kwa kipindi hiki lakin we used to have spies in all areas accros government and non governmnt instututions kipind cha nyuma.
Tafadhal shughulikien suala hili
 
Hili ni pigo kwa graduates wa hapo, sidhani kama watapata ajira kwa kauli aliyoitoa
 
Mheshimiwa Magufuli anasema " chuo Cha Kampala gongo la mboto Ni Cha hovyo,Kuna wanafunzi wamemaliza masters pale,saizi wameanza upya kusoma degree ya Kwanza maana walichokipata pale Ni useless..". Hii ni kauli mbaya sana kwa wanafunzi na uongozi wa Kampala University,sio muda hiki chuo kanjanja kitafungiwa rasmi
Sio tu kwa chuo
Hata kwenye ajira wanafunzi watapata shida sana

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mheshimiwa Magufuli anasema " chuo Cha Kampala gongo la mboto Ni Cha hovyo,Kuna wanafunzi wamemaliza masters pale,saizi wameanza upya kusoma degree ya Kwanza maana walichokipata pale Ni useless..". Hii ni kauli mbaya sana kwa wanafunzi na uongozi wa Kampala University,sio muda hiki chuo kanjanja kitafungiwa rasmi
Na ndio maana iko Ug si yeye basi juu amejam afungue yake Tz ni ifunze zaidi kuliko ya Ug ,kuliko ku criticize kitu si u come up na university yake ndo aongelee vibaya ya wenyewe,Nyani haoni kundule

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom