Magufuli : Chuo Cha Kampala Ni Cha hovyo!

Pablo Blanco

JF-Expert Member
Joined
Dec 20, 2016
Posts
7,324
Reaction score
6,657
Mheshimiwa Magufuli anasema " chuo Cha Kampala gongo la mboto Ni Cha hovyo,Kuna wanafunzi wamemaliza masters pale,saizi wameanza upya kusoma degree ya Kwanza maana walichokipata pale Ni useless..". Hii ni kauli mbaya sana kwa wanafunzi na uongozi wa Kampala University,sio muda hiki chuo kanjanja kitafungiwa rasmi
 
Huyu mzee,anakaba hadi penalti
 
ila kampala kwa muonekano kipo vizuri sana from majengo, usafi, mpangilion wa vitu.. nyumba za walimu wao nzuri... kwa muonekano wa nje kinaonesha ni sehemu ya uongozi unaojielewa.. ila sijui elimu yao kwa kweli...

kuna vyuo kama cbe, ifm, tia, dit.. muonekano tu haupo kisomi.. yaani vuru vuru... ila kampala ukiinia campus yao japo ni ndogo ila inavutia.. imekaa kichuo chuo
 
Mkuu mimi nina jamaa yangu anasoma pale pharmacy ananiambiaga vitu vingine vinazungumza nje lakini haviko hivyo

Mfano waalimu department ya pharmacy kuna mtu kama Dr.kabati,Dr.chambuso,Dr.kalala( waliosoma Bpharm muhas hawa watu mtakuwa mnawajua) na wengine lakini stori mtaani na za Raisi ni kwamba wanafundishwa na form six leaver..

Elimu ya Tanzania kwa level ya chuo ubora wake hautofautiani sana..

Nanaa
 
Back
Top Bottom