Magufuli bila madaraka yukoje?

Kuna watu huwa mnaona future au?
 

Nashukuru, nilitaka nisikie maoni yako kwa sasa kuhusu hiki kinachoendelea.
 
Ukweli uliojificha lakini unaonekana
 
Wewe ni nabii usiyevuma. Hongera!
 
Without power he needs to be in jail because he is a criminal dictator
 
Madikteta wote bila power ni wepesi kuliko karatasi.
Hawana uwezo wa kusimama binafsi bila kukamilishwa na polisi
 
Madikteta wote bila power ni wepesi kuliko karatasi.
Hawana uwezo wa kusimama binafsi bila kukamilishwa na polisi
 
Kicha cha habari kizuri, tatzo umekuja na majawabu yako.

So nadhani hapakuwa na sababu ya kuleta hapa jamvini.
 
Ulivyo mtambua ndivyo anachoweza kufanya. Uliyo yaona ameyafanya ni baada ya kupata platform, Ambayo hakuyafanya ni kwa kuwa alikuwa hajapata platform.

Tumejuwa ujasiri wa Lissu hasa wakati wa kampeni ya uchaguzi Mkuu. Labda tusingeweza kujuwa ujasiri wake.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…