Magufuli ayathibitisha tuhuma za Mnyika.

jogi

JF-Expert Member
Joined
Sep 25, 2010
Posts
25,556
Reaction score
25,362
Watanzania tumemshuhudia rais wa jamuhuri ya muungano wa tanzania ametuambia bayana kuwa mfumo wa utawala ulikuwa dhaifu sana!!!

"unaondoaje hisa za serikali kwenye makampuni na kuikosesha serikali mapato (dividend)"

Mnyika John Mb. Alimtuhumu kikwete kwa udhaifu wa kuisimamia serikali yake hadi kuzalisha wafanyakazi hewa, mikataba mibovu mingine akiirithi kutoka kwa mkapa na akashindwa kuirekebisha.

Wakati akifanya hivyo naona magufuli akikata tawi alilolikalia!!!!!!
 
[HASHTAG]#RipotiYaKwanza[/HASHTAG]

Lissu: Tusihangaike na udongo, tuhangaike na mikataba na sheria mbovu za madini zilizotufikisha hapa. Tuangalie tulipojikwaa, tusiangalie tulipoangukia.

CCM: Lissu analinda wezi. Mikataba na sheria za madini hazina shida. Shida ipo kwenye udongo wenye makinikia. Tumeibiwa sana kwenye udongo. Hatukubali.

[HASHTAG]#RipotiYaPili[/HASHTAG]

JPM: Tumelogwa na nani? Watanzania tumeibiwa sana. Naagiza mikataba yote na sheria zote za madini zipitiwe upya.

CCM: Rais wetu mzalendo. Amefanya kazi kubwa sana. Tumuombee.!!

[HASHTAG]#MyTake[/HASHTAG]:
Lugha ileile aliyoongea Lissu akaambiwa amehongwa, ndiyo aliyoongea JPM leo akaitwa mzalendo. Akili za CCM kama kifurushi cha jaza ujazwe .!
 
Ccm ni hatari kubwa kupindukia
 
IMG-20170612-WA0005.jpg
 
Mnyika kiboko pia soon jpm atathibitisha tuhuma za Richmond na pongezi zitaongezeka
 
[HASHTAG]#RipotiYaKwanza[/HASHTAG]

Lissu: Tusihangaike na udongo, tuhangaike na mikataba na sheria mbovu za madini zilizotufikisha hapa. Tuangalie tulipojikwaa, tusiangalie tulipoangukia.

CCM: Lissu analinda wezi. Mikataba na sheria za madini hazina shida. Shida ipo kwenye udongo wenye makinikia. Tumeibiwa sana kwenye udongo. Hatukubali.

[HASHTAG]#RipotiYaPili[/HASHTAG]

JPM: Tumelogwa na nani? Watanzania tumeibiwa sana. Naagiza mikataba yote na sheria zote za madini zipitiwe upya.

CCM: Rais wetu mzalendo. Amefanya kazi kubwa sana. Tumuombee.!!

[HASHTAG]#MyTake[/HASHTAG]:
Lugha ileile aliyoongea Lissu akaambiwa amehongwa, ndiyo aliyoongea JPM leo akaitwa mzalendo. Akili za CCM kama kifurushi cha jaza ujazwe .!
Eti akili za MAFISIEMU KAMA BUNDLE LA JAZA UJAZWE.
 
Sasa yule Lusinde alisema wapinzani ndiyo wanalinda wezi wa madini yetu.....

Hivi leo imetajwa list ya viongozi waliokuwa wanafanya 'conspiracy' na makampuni ya madini ili kutuibia kwenye madini yetu.

Sasa tumuulize Mbunge Lusinde na wabunge wenzake wa CCM waliokuwa wakiwatukana wabunge wa upinzani na kuwaita wezi wa madini yetu..

Sasa tuwaulize hao wabunge wa CCM, je katika hiyo list iliyotajwa leo je ni wangapi kutoka Chadema?

Tumesikia katika hiyo list wakitajwa makada wa CCM watupu na hata mmoja wapo ni Mwenyekiti wa Bunge letu la nchi!

Kumbe ndiyo maana Bunge letu limekosa weledi, kwa kuwa Spika ni mcharaza bakora kwa wagombea wenzake hadi kuwasababishia kuzirai na huyo Mwenyekiti wa Bunge ndiye aliyesaini mikataba hii ya madini mwishoni mwa miaka ya 90!
 
Hawakuwaelrwa wapinzani na hata baada ya tamko la mkulu bada hajawaelewa wapinzani, mikataba kupelekwa bungeni ndo kilio cha wapinzani.
 
Back
Top Bottom