Magufuli awaomba wanawake wa Tanzania wazae kwa wingi ili uchumi ukue

Ushasikia tz hakuna resources.
Natural resources(if that's what you mean) are very limited.Why don't you heed to that call and add two to your unit(family) to make, say seven and see how that strains you as their dependants.Thirty years later you'll have Two well educated,well brought up and three "sumbuas".Amplify that to a national look. Magu is more chizi than clever.
Tzs economy is better off in the hands of few well skilled very productive human resource than big but dependant one which ends up the last part of mk254 post above
 

Wewe usituletee ujinga kutulinganisha na Kenya.
Mbona Botswana ina watu wachache lkb uchumi wake in terms of citizens welfare ni mkubwa mara dufu kwa big mouthed corrupt Kenya.
 

Correction,
Lets be specific, It is Kenya that is unable to feed even her people, Not Africa.
 
kuzaa niuamuzi wa mtu binafsi.Hoja Aliyotoa hapo niyake na ina pros and cons wala sio sheria ametunga eti waTz wafuate. JPM Mwenyewe ana watoto wangapi? Tuanzie hapo.
Ila Mnakosa sana kujadili madhara ya low population kama inavyo fanyika nchi za magaribi.
Tuseme tu JPM anaona mbali sana, amesha jua kwamba Tz itakuwa nchi developed in a few years na hataki kuwe na shida za ukosefu wa workforce kama ujerumani.
Haya maono ya JPM wala sio ya kujichocha, ndani ya miaka tatu ya uongozi wake Tz imevuka hadi Middle income, anaenda na spidi ya umeme, na maono yake pia yame vuka viwango vya Middle income
 
Middle income ya wapi...au wamaanisha ya mars
 
Kumbe mawe ni sawa tu na waziri wake.Nilisikia waziri wake mmoja akisema Wanyama wa pori waelimishwe wajue vile kuishi na binadamu….
 
Wewe usituletee ujinga kutulinganisha na Kenya.
Mbona Botswana ina watu wachache lkb uchumi wake in terms of citizens welfare ni mkubwa mara dufu kwa big mouthed corrupt Kenya.
Mjinga ni wewe ,familia ya watu wanne wanaopata shlingi elfu arobaini kwa mwezi itaishi vizuri kuliko familia ya watu kumi na wawili wanaopata shilingi elfu themanini kwa mwezi.mjinga wa mwisho wewe rudi shuleni.
 
Mjinga ni wewe ,familia ya watu wanne wanaopata shlingi elfu arobaini kwa mwezi itaishi vizuri kuliko familia ya watu kumi na wawili wanaopata shilingi elfu themanini kwa mwezi.mjinga wa mwisho wewe rudi shuleni.

Duu bora nikuangalie tu nipite zangu. Hivi kuishi vizuri kwa familia inategemea kipato inachoingiza tuu!! Do you know what's Ceteris Paribas?
 
Ingekuwa Kenya ninge sema hapana kwa sababu watu waliopo wanakufa kwa njaa lakini Tanzania population haina shida
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…