Magufuli awakonga nyoyo Afrika Kusini

Magufuli awakonga nyoyo Afrika Kusini

quote_icon.png
By avogadro
Habari za mtu huyu zinaenea kwa kasi , galilaya yoote, efeso , yuda......n.k

Uru ya ukaldayo, Samaria, bethania, Galatia na rumi....

basi ikawapendeza watu wote katika nchi ile, nao wakaungana naye wakisema.....​
 
Na bado zikifika siku 100 hadi obama atajileta mwenyewe bongo bila kupenda

na itafika pahala tutaanza kutoa misaada ya kila hali kwa wenzetu, afrika na nchi nyingine.
sisi sio watu wa kutembeza mabakuli hata siku moja.
dhahabu, maeneo ya kilimo, maziwa na mito, bahari na gesi, jamani tutake nini tena.
tulichokuwa tunakikosa ni uongozi thabiti ilo tu.
hii wataisoma namba sio ndani tu hata nje ya nchi. tingatinga lilee.............
 
nasubiri comment ya Donald Trumph yule mmarekani anayewania uprezoo kupitia republican
 
I consumately concur; or as Senator Patrick Obahiagbon would put it: We must halt this ludicrously lugubrious kakistocracy. It is high time we demur against demuren (no onomatopoeic extrapolation intended). Because the country was on a precipice of apocalyptic crepscule. This jiggery pokery and paraplegic crinkum cankum that characterizes the post-election UKAWA is, to say the least, both sardonic and misanthropic.

Yesi yesi UKAWA Haahaaa ....
 
I like that. Ila nampenda sana rais wetu Magufuli. Kuna kitu kwa mda mrefu wazungu walikuwa wakitudharau Afrika na kudhani hatuwezi kuwa na viongozi mfano wa rais Magufuli, tunawapa pole sana. Naamini hata wao wenyewe wanashangaa na inawauma kuona kumbe Afrika bado inaweza kuwa na watu mashuhuri kupita hata wazungu, si mda mrefu wataanza kufanya ziara kuja kumwona live huyu Magufuli ni mtu wa aina gani, tunawakaribisha wazungu wake kutalii
 
Hata JK alikuwa anatisha ni kwa kuwa hamkumpenda tu

Nikuambie kitu hakuna kitu nilichokuwa siwezi kusikiliza kama hotuba za J.K lakini akiongea Dr Magufuli siku ya uzinduzi wa Bunge niliweza kukaa na kuagiza juice na kuisikiliza mpaka mwisho unajua kuna mtu akiongea kitu ukimwangalia unaona huyuu nadanganywa lakini mwingine akiongea unaona huyu kweli anayo dhamira ya kweli.
 
Endeleeni kumlewesha na misifa ya kijinga wakati bado kuna mambo kibao ya muhimu kushinda hayo ya kushtukiza na kusimamisha vidagaa kazi ili hali mapapa yapo yanaendelea kutumbua
 
na itafika pahala tutaanza kutoa misaada ya kila hali kwa wenzetu, afrika na nchi nyingine.
sisi sio watu wa kutembeza mabakuli hata siku moja.
dhahabu, maeneo ya kilimo, maziwa na mito, bahari na gesi, jamani tutake nini tena.
tulichokuwa tunakikosa ni uongozi thabiti ilo tu.
hii wataisoma namba sio ndani tu hata nje ya nchi. tingatinga lilee.............

kikwete ana chia bilion 100 halafu anapanda ndege kuomba bilion 30
 
Nitampima busara zake kama atamaliza suala za Zanziber Salama
 
I consumately concur; or as Senator Patrick Obahiagbon would put it: We must halt this ludicrously lugubrious kakistocracy. It is high time we demur against demuren (no onomatopoeic extrapolation intended). Because the country was on a precipice of apocalyptic crepscule. This jiggery pokery and paraplegic crinkum cankum that characterizes the post-election UKAWA is, to say the least, both sardonic and misanthropic.

Hii sasa baba lao!
 
Kuna watu wengine wanatamani rais ashindwe kwenye harakati zake, sasa sijui wanania gani na nchi! Nimemsoma Julius mtatiro kwenye nakala yake jana, nampongeza kwa nakala Mzuri ya kizalendo, Shime watanzania tuungane na rais kwenye hii vita ya kujenga upya nchi yetu. Uzalendo ni kujenga nchi sio kuhiujumu nchi.
 
Back
Top Bottom