The Phylosopher
JF-Expert Member
- Mar 11, 2015
- 1,911
- 2,891
Walimu ni 60% ya watumishi wote wa umma cha kusikitisha ni kuwa wanapata 40% tu ya pesa yote wanayolipwa watumishi wote hawana posho wala marupurupu, hawana nyumba za kuishi wala usafiri na zaidi ya hayo mpaka sasa wanaidai serikali zaidi ya shs bilion 20 ikiwa ni malimbikizo mbalimbali ya nyuma.
Si rais, waziri mkuu wala mawaziri wa elimu alieelezea ni vipi atarekebisha kasoro hizi badala yake wanaishia kuwatisha walimu na kuwachimba mikwara kana kwamba hawayajui kabisa maswahibu ya walimu.
Kusema ukweli vitisho hivyo vimezidi kushusha mori ya walimu badala ya kuwapa morali.
Ikumbukwe pia kuwa licha ya maslahi duni wanayolipwa mazingira yao ya kazi ni magumu sana hayafanani kabisa na hali ya utoaji elimu kitaalam.

Last edited by a moderator: