Kitoto Akisa
Member
- Apr 23, 2009
- 53
- 5
No wonder the Kagoda file is still missing, kumbe wazee wamelikanyaga miguuni! Mizizi ya Mbuyu, mi nakubaliana nawe kuwa JPM anastahili nafasi zaidi ya hii aliyonayo sasa, lakini kwa uzoefu inaonesha watu kama Magufuli ambao ni watendaji zaidi hawafanyi vizuri wanapokuwa kwenye nafasi za kidiplomasia zaidi kama ya urais, unajua rais ni mtoa maagizo zaidi kuliko utendaji sasa mtu kama JPG akiwa rais hatutaona juhudi hizi tunazoziona sasa, nitoe mfano mdogo tu, si unamkumbuka Charles Keenja, alifanya vizuri sana alipokuwa meya wa jiji la Dar, alileta mapinduzi makubwa sana Dar, hali inayoonekena sasa ya dar kwa kiwango kikubwa ni juhudi zake, lakini si uliona alipokuwa waziri wa chakula alifanya nini?madudu matupu. Mimi kwa pendekezo langu JPM akiwa waziri mkuu tutaona mabadiliko makubwa sana